Mbolea Za Chumvichumvi

Mbolea za chumvichumvi ni kemikali zilizoandaliwa kama virutubisho ambavyo huhitajika katika ukuaji wa mmea.

Mbolea Za Chumvichumvi
Caption text

Virutubisho vikuu vitatu ni: naitrojeni (N), fosforasi (P), potasiamu (K) ambavyo kwa ujumla hutengeneza mbolea. Mmea wowote hutumia virutubisho hivyo.

Kazi ya naitrogeni ni kukuza mmea na kushamiri vizuri na kutoa suke pana; kazi ya fosfati ni kutengeneza rangi ya kijani (chanikiwiti) na kutengeneza shia na virutubisho vya mmea; kazi ya potashi ni kufanya mmea kukua kwa kasi na kustawi.

Aina za mbolea ni

N.P.K. (17:17:17) N.P.K. ni ufupisho wa maneno yafuatayo: N-naitrojeni, P-fosfati na K-potashi.

C.A.N. (27:0:0)

D.A.P. (18:46:0)

Mbolea Za Chumvichumvi Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mbolea za chumvichumvi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KemikaliMmeaVirutubisho

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mtemi MiramboLigi Kuu Tanzania BaraKumamoto, KumamotoFutiMkoa wa ShinyangaMuungano wa Madola ya AfrikaOrodha ya mikoa ya Tanzania na MaendeleoUislamu kwa nchiFisiMaana ya maishaWahaNamba tasaKupatwa kwa JuaRushwaJumamosi kuuAla ya muzikiMkoa wa RuvumaBinadamuWamasaiNyongoMkoa wa Unguja Mjini MagharibiAgano JipyaTundu Antiphas Mughwai LissuUislamuRoho MtakatifuKukiMapinduzi ya ZanzibarSabatoProtiniMikoa ya TanzaniaDhima ya fasihi katika maishaMaradhi ya zinaaPaul MakondaIsimuMpira wa kikapuWanyamaporiBakteriaChris Brown (mwimbaji)UturukiJumuiya ya Afrika MasharikiOrodha ya miji ya Afrika KusiniTamathali za semiMazingiraWema SepetuVivumishi vya sifaYouTubeLugha ya taifaMatendo ya MitumeMbwaJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaKalendaRiadhaUmoja wa MataifaMkoa wa SongweSakramentiMivighaUtandawaziJulian AssangeAlbert EinsteinMafua ya kawaidaZakaMtume YohaneLugha ya isharaMpwaJumapili ya matawiNdoo (kundinyota)Misale ya waaminiMungu ibariki AfrikaInsha ya wasifuShangaziInjili ya MathayoUhakiki wa fasihi simuliziKalenda ya KiislamuOrodha ya maziwa ya Tanzania🡆 More