Lhasa ni mji mkuu wa Tibet ya kihistoria na pia ya Mkoa wa kujitawala wa Tibet katika China. Kati ya wakazi wake 474,490 idadi kubwa, yaani 387,124 walikuwa Watibet, wengine Wachina.
Lhasa | |
Majiranukta: 29°39′55″N 91°7′2″E / 29.66528°N 91.11722°E | |
Mkoa wa kujitawala | Tibet |
---|---|
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 474,499 (2,000) |
Makala hii kuhusu maeneo ya China bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Lhasa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Lhasa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.