sayansi

Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia

Lango la Sayansi

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa. Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.

Aina za Sayansi

Makala nzuri ya mwezi

Darlingtonia Californica
Darlingtonia Californica
Biolojia ni elimu ya uhai na viumbehai kama vile mimea, wanyama, kuvu (kama uyoga), bakteria na virusi.

Biolojia inaangalia jinsi viumbehai vinavyoishi na jinsi vinavyohusiana kati yao na katika mazingira yao. Lugha ya kisayansi katika biolojia inatumia maneno mengi ya asili ya Kigiriki na Kilatini. Lugha nyingi zimeingiza maneno haya tu katika msamiati wao; katika lugha kadhaa wataalamu wametafsiri sehemu ya maneno haya kwa lugha zao lakini kwa ujumla sehemu kubwa na majina ya kisayansi hufuata utaratibu wa Kigiriki na Kilatini.

MashauriJalada

Wasifu Uliochaguliwa

Erwin Schrödinger (12 Agosti, 18874 Januari, 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Paul Dirac alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Katika mwaka wa 1935, baada mawasiliano na rafikiye binafsi Albert Einstein, alipendekeza majaribio ya fikra ya Schrödinger's cat.

Je, wajua...?

Tangu mwaka 1901, Tuzo ya Nobeli imepokelewa na wataalamu wafuatao:

Vitu unavyoweza kufanya

Lango:Sayansi/Vitu unavyoweza kufanya

Picha iliyochaguliwa

Aurora borealis
Picha inayoonyesha Utegili (pia: plasma) ya Aurora borealis katika Alaska, Marekani.

Sayansi vimilango

sayansi
sayansi
sayansi
sayansi
Sayansi asili Sayansi ya jamii Sayansi tumizi Sayansi umbile
Sayansi asili Sayansi ya jamii Sayansi tumizi Sayansi umbile

Jamii


Masharika ya Wiki

Nini milango? · Orodha ya Milango

Purge server cache

Tags:

Lango:AfyaLango:DiniLango:FalsafaLango:HisabatiLango:HistoriaLango:JamiiLango:JiografiaLango:SanaaLango:TeknolojiaLango:Utamaduni

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BinadamuKonsonantiDubaiMzunguKitomeoMatiniMuundo wa inshaSayariMwaka wa KanisaMoyoAthari za muda mrefu za pombeRitifaaUtawala wa Kijiji - TanzaniaPonsyo PilatoDhahabuVivumishi vya pekeeMaktabaSeli nyeupe za damuUlimwenguTendo la ndoaOrodha ya Magavana wa TanganyikaMnara wa BabeliMadhehebuHistoria ya KiswahiliKabwe Zuberi ZittoNazi (tunda)AfyaWizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa KimataifaNenoHistoria ya AfrikaTanganyika (ziwa)IsraelMr. BlueMnururishoUajemiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaHistoria ya WasanguAfrikaHistoria ya WapareMitindoMamlaka ya Mapato ya TanzaniaMkanda wa jeshiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMitume na Manabii katika UislamuSisimiziMikoa ya TanzaniaAthari ya pandemia ya Korona 2019-20 kwa mazingiraMjasiriamaliKihusishiHadhiraHistoria ya ZanzibarUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaVivumishi vya kuoneshaMoses KulolaChristina ShushoIstilahiOrodha ya milima mirefu dunianiTungoJumuiya ya Afrika MasharikiKanga (ndege)KaswendeBahariOrodha ya makabila ya TanzaniaKongoshoMohamed HusseinAgano la KaleMuda sanifu wa duniaUtawalaJohn MagufuliKunguniWhatsAppWamasoniMkoa wa MwanzaMajigamboRuhollah Khomeini🡆 More