Komba

Jenasi 5:

Komba
Komba magharibi (Galago senegalensis)
Komba magharibi (Galago senegalensis)
Uainishaji wa kisayansi
Domeni: Eukaryota (Viumbe walio na seli zenye kiini)
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mamalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Primates (Wanyama wanaofanana kiasi na binadamu)
Nusuoda: Strepsirrhini (Wanyama wanaofanana zaidi na lemuri)
Oda ya chini: Lorisiformes (Wanyama kama poto)
Familia: Galagidae (Wanyama walio na mnasaba na komba)
Gray, 1825
Ngazi za chini

Komba ni wanyama wadogo wa familia Galagidae. Wamo miongoni mwa wanyama wa asili wa jamaa ya binadamu. Wanatokea Afrika kusini kwa Sahara.

Hukiakia usiku na hulala mchana katika matundu ya miti. Kwa ajili hiyo wana macho makubwa ili kuona vizuri kwenye giza. Hata masikio yao ni makubwa ili kusikia mawindo yao na hata maadui wao. Mkia mrefu wao huzuia wasiyumbe wakitembea juu ya matawi. Wanaweza kuruka sana, hadi mita 2 kwa wima. Wana makucha kama yale ya watu, isipokuwa lile la kidole cha pili cha miguu ambao ni mrefu wenye ncha kali na hutumika kwa kusafisha manyoya. Hula wadudu, wanyama wadogo, matunda na sandarusi.

Spishi

Picha

Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wiki: WikiProject Mammals/Article templates/doc.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mhusika (fasihi)Tanganyika (ziwa)Bonde la Ufa la Afrika ya MasharikiMichezoKiwakilishi nafsiP. FunkVidonge vya majiraMadhehebuDoto Mashaka BitekoNelson MandelaUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2015MadiniAlama ya barabaraniFonimuWiki FoundationUsultani wa ZanzibarBurundiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMungu ibariki AfrikaMikoa ya TanzaniaVivumishi vya jina kwa jinaKadi ya adhabuZama za MaweLa LigaPesaNimoniaNamba tasaLugha ya isharaMtandao wa kompyutaLongitudoInsha ya wasifuUpendoUhuru wa TanganyikaAnwaniLahaja za KiswahiliVihisishiMatamshiFisiLil WayneKishazi tegemeziOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSimu za mikononiAla ya muzikiDamuVivumishi ya kuulizaRejistaJokofuKonsonantiUandishi wa ripotiBarua pepeMitume wa YesuSamia Suluhu HassanAgostino wa HippoUtoaji mimbaVivumishi vya kuoneshaDodoma (mji)BarabaraMbuga wa safariTaswira katika fasihiMbooDubai (mji)Orodha ya Magavana wa TanganyikaIsimujamiiMatendo ya MitumeWasukumaHaki za binadamuUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMkoa wa ArushaOrodha ya vitabu vya BibliaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniHorusNgw'anamalundiMkoa wa IringaDar es Salaam🡆 More