Kimalagasy

Kimalagasy ni mlolongo wa lugha za Kiaustronesia nchini Madagaska inayozungumzwa na Wamalagasy.

Lugha za Kimalagasy hasa ni Kiantankarana, Kibara, Kibetsimisaraka-Kaskazini, Kibetsimisaraka-Kusini, Kimasikoro, Kisakalava, Kimalagasy Sanifu, Kitandroy-Mahafaly, Kitanosy, Kitesaka na Kitsimihety. Idadi ya wasemaji wote wa lugha za Kimalagasy imezidi watu milioni 16. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, lugha za Kimalagasy iko katika kundi la Kibarito.

Kimalagasy

Viungo vya nje

Kimalagasy  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kimalagasy kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KiantankaranaKibetsimisaraka-KaskaziniKibetsimisaraka-KusiniKimalagasy SanifuKimalagasy ya BaraKimasikoroKisakalavaKitandroy-MahafalyKitanosyKitesakaKitsimihetyLugha za KiaustronesiaMadagaskaWamalagasy

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Muda sanifu wa duniaLilithVitenzi vishirikishi vikamilifuTAZARAMapenzi ya jinsia mojaKiimboMimba kuharibikaJamhuri ya Watu wa ZanzibarInsha za hojaElimuMfumo wa vyama vingiMaishaJay MelodyIsimujamiiBorussia DortmundPaa (maana)Viwakilishi vya pekeeAlomofuMaadiliDNAHarusiMartha MwaipajaDiamond PlatnumzUturukiShetaniKorea KusiniMkoa wa Unguja Mjini MagharibiWahangazaShinikizo la juu la damuHistoria ya IsraelLigi ya Mabingwa AfrikaCristiano RonaldoVita Kuu ya Kwanza ya DuniaStephane Aziz KiKitabu cha Yoshua bin SiraMashariki ya KatiWawanjiJoyce Lazaro NdalichakoAli Hassan MwinyiNembo ya TanzaniaDuniaKiambishi tamatiHoma ya mafuaKisaweDiniUtumbo mwembambaKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniKombe la Dunia la FIFAIniHistoria ya UturukiKarafuuMahakama ya TanzaniaWanyamboKamusi ya Kiswahili sanifuHarmonizeChuraTungo sentensiSakramentiNominoTaasisi ya Taaluma za KiswahiliKigaweWapareMtaguso wa kwanza wa NiseaVita Kuu ya Pili ya DuniaMauaji ya kimbari ya RwandaMbwaShomari KapombeNabii EliyaMwanzo (Biblia)MaghaniEverest (mlima)SikukuuHadithiOrodha ya Marais wa ZanzibarP. Funk🡆 More