Kimberly Noel Kardashian (alizaliwa Oktoba 21, 1980) ni mwanamitindo, na mfanyabiashara wa Marekani.
.
Alipata umaarufu kwa mara ya kwanza katika vyombo vya habari kama rafiki na mwanamitindo wa Paris Hilton, lakini alipata sifa zaidi baada ya kanda ya ngono ya Kim Kardashian, Superstar, iliyopigwa mwaka 2002 na mpenzi wake, mwaka wa 2007.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kim Kardashian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kim Kardashian, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.