Kikwamba (kutoka kitenzi kwamba, chenye maana ya kusema au kunena) ni aina ya shairi (bahari) ambalo neno la kipande cha kwanza katika kila mshororo hujirudiarudia katika ubeti , kwa mfano:
Kusema yanilazimu, daima sitonyamaza
Kusema yanilazimu, kimya kina nichukiza
Kusema yanilazimu, kipo cha kuwaeleza
Kama kusema ugonjwa, basi niache niumwe.
Makala hii kuhusu mambo ya fasihi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikwamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kikwamba, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.