Kideni

Kideni ni moja kati ya lugha za Kijerumaniki, kinazungumzwa nchini Udeni, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig).

Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5.5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Udeni, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.

Kideni
Lahaja za Kideni

Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:

Kiswahili Kideni
Salam Hej
Kwaheri Farvel
Ahsante Tak
Unatoka Wapi ? Hvor kommer du fra?
Pamoja Med
Mimi Jeg
Ndiyo Ja
Hapana Nej
am/are/is Er
Kiingereza Engelsk
Kama Hvis
Ninakupenda Jeg elsker dig
Chumba Værelse
Copenhagen København
Ankara Regning
Msosi Mad
Sawa Okay
Mwamvuli Paraply
Wapi Hvor
Nani Hvem
Ipi Hvilken/hvilket
Bei Prisen
Iko wapi Hvor er
Uwa. Ndege Lufthavn
Barabara Vej
Jogoo Hane
Kuku Jike Kylling
Samaki Fisk
Asiyekula nyama Vegetar
Fananisha Sammenligne
Treni Tog

Viungo vya nje

Kideni  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kideni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

GrinlandiKijerumanikiUdeniUjerumaniVisiwa vya Faroe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkoa wa RukwaMizimuDubai (mji)Viwakilishi vya kumilikiKiambishi tamatiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaUchumiHeshimaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKilomita ya mrabaUfinyanziKiharusiBahariMendeOmbweRufiji (mto)DagaaRamaniUajemiAfrika Mashariki 1800-1845VitaMwakaFasihi simuliziOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaEstrojeniMariooIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Historia ya WaparePaul MakondaKabwe Zuberi ZittoJumuiya ya MadolaPasaka ya KikristoMkoa wa KigomaUmoja wa MataifaAbedi Amani KarumeMaskiniMshororoMapafuRuhollah KhomeiniUpendoChakulaKunguniAlama ya barabaraniMamba (mnyama)KarneViwakilishi vya -a unganifuMafarisayoMbeyaRushwaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiTashihisiUkristo barani AfrikaBenjamin MkapaAfrika KusiniSensaVisakaleLatitudoIsimuWanu Hafidh AmeirHistoria ya WasanguTausiVihisishiHenokoKinjikitile NgwaleMkazoNamba tasaMpira wa miguuWakwereAfro-Shirazi PartyVolkenoUharibifu wa mazingiraVielezi vya idadiCristiano Ronaldo🡆 More