Kichechen ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi inayozungumzwa na Wachechen.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kichechen nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 1,350,000. Wachechen wengi, takriban laki moja, wamekimbia nchi yao na kuishi katika nchi za Kazakhstan, Kirgizia, Georgia na nyingine za Asia ya Kati, Mashariki ya Kati au Ulaya. Idadi ya wasemaji katika nchi hizo hazijulikani, ila mwaka wa 2013, wasemaji 3200 walihesabiwa nchini Yordani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kichechen iko katika kundi la Kinakh.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kichechen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kichechen, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.