Kiavar ni lugha ya Kikaukazi ya Kaskazini nchini Urusi, Azerbaijan na Georgia inayozungumzwa na Waavar.
Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kiavar nchini Urusi imehesabiwa kuwa watu 715,000. Pia kuna wasemaji 46,600 nchini Azerbaijan (2011) na 2000 nchini Georgia (2002). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiavar iko katika kundi la Kiandiki-Avar.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiavar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kiavar, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.