Jenasi 5, spishi 6 katika Afrika:
Kalunguyeye | ||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kalunguyeye tumbo-jeupe (Atelerix albiventris) | ||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||
| ||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||
|
Kalunguyeye ni wanyama wenye miiba wa nusufamilia Erinaceinae katika familia Erinaceidae.
Wanyama wengine walio na miiba ni nungunungu na ekidna, lakini hawa hawana mnasaba mmoja na kalunguyeye. Nungunungu wamo katika oda ya wagugunaji (Rodentia) na ekidna katika oda ya mamalia wanaotaga mayai (Monotremata).
Mara nyingi kalunguyeye huitwa walawadudu (oda ya zamani Insectivora). Kwa kweli hula wadudu na arithropoda wengine, nyungunyungu, konokono, vyura, nyoka, mayai ya ndege, mizoga, nyoga, mizizi ya nyasi, beri na matikiti.
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kalunguyeye, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.