Judy Garland (alizaliwa tar.
10 Juni 1922 - 22 Juni 1969) alikuwa mwigizaji filamu na mwimbaji kutoka nchini Marekani.
Judy Garland | |
---|---|
Amezaliwa | Frances Ethel Gumm Juni 10, 1922 Grand Rapids, Minnesota, US |
Amekufa | 22 Juni 1969 (umri 47) Chelsea, London, U.K. |
Kazi yake | Mwigizaji Mwimbaji |
Miaka ya kazi | 1924-1969 (mwimbaji) 1929-1967 (mwigizaji) |
Ndoa | David Rose (1941–1944) Vincente Minnelli (1945–1951) Sid Luft (1952–1965) Mark Herron (1965–1967) Mickey Deans (1969, yake ya kifo) |
Uhusika wake maarufu ni ule wa Dorothy Gale kutoka katika filamu ya The Wizard of Oz (1939). Pia ni mshindi wa Tuzo za Oscar na ameshinda tuzo zingine kadha wa kadha kwa ajili ya shughuli zake za uigizaji na uimbaji. Huyu ni mama wa mwigizaji na mwimbaji Liza Minnelli.
Mwaka wa 1999, Taasisi ya Filamu ya Marekani imempa nafasi ya kumi katika orodha ya waigizaji nyota wa Marekani na historia yake kwa ujumla.
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Judy Garland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Judy Garland, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.