Java

Java ni kisiwa cha Indonesia.

Kiko upande wa kusini-mashariki wa kisiwa cha Sumatra.

Java
Ramani ya Java.
Java
Mahali pake.

Eneo la kisiwa ni km² 138,794.

Mwaka wa 2014 idadi ya watu kisiwani imehesabiwa kuwa milioni 143. Watu wakaao kisiwani mwa Java huongea lugha mbalimbali, hasa Kijava, Kisunda na Kimadura.

Mji mkubwa kabisa kisiwani huitwa Jakarta.

Java Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

IndonesiaKisiwaKusiniMasharikiSumatra

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ngono zembeTafsiriTabianchiAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMkoa wa SingidaKamusi elezoVita ya Maji MajiSimuTungoUhakikiJipuMapachaVitendawiliKiambishi tamatiLigi ya Mabingwa UlayaHistoria ya ZanzibarMashariki ya KatiMkoa wa RuvumaMuundoUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMaumivu ya kiunoHoma ya iniKenyaMjasiriamaliWaluguruSiasaMkataba wa Helgoland-ZanzibarViwakilishi vya pekeeKabilaKipindupinduMtoto wa jichoLuka ModricMatumizi ya lugha ya KiswahiliWikipediaStephane Aziz KiNafsiErling Braut HålandIstilahiMkoa wa TangaArusha (mji)NathariHistoria ya UturukiUlayaKunguniPunyetoKalenda ya KiislamuAli Hassan MwinyiUislamuZana za kilimoDemokrasiaNyangumiKinembe (anatomia)MandhariRoho MtakatifuChuiMshubiriJumuiya ya Afrika MasharikiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUtumbo mwembambaMtandao wa kompyutaMzunguMtaguso wa kwanza wa NiseaKiambishi awaliZuchuKanisa KatolikiVihisishiKitabu cha Yoshua bin SiraUmoja wa AfrikaWamasaiTungo kiraiMmeaMbaraka MwinsheheMahakama ya TanzaniaMethaliBaruaAdhuhuri🡆 More