Hassan Mwakinyo

Halfan Hythani Hamza (maarufu kama Hassan Mwakinyo; alizaliwa 15 Machi 1995 mkoani Tanga) ni mtaalamu wa mchezo wa masumbwi na ngumi za kulipwa kutoka nchini Tanzania.

Ni mwanamasumbwi wa uzito wa kati. Mpaka mwaka 2018 Mwakinyo alikuwa anashika namba 235 kidunia na namba 1 barani Afrika katika ndondi za uzito wake.

Amekuwa akijihusisha na mchezo wa masumbwi tangu mwaka 2015 akiwa na umri wa miaka 20. Ana kimo cha futi 5 na inchi 8.

Marejeo

Tags:

15 Machi19952018AfrikaMchezoMwakaTangaTanzaniaUzito

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Magonjwa ya machoViunganishiAsidiWachaggaMuzikiMichezo ya watotoVielezi vya mahaliMadiniWaduduHaki za watotoUbuntuMapenzi ya jinsia mojaWangoniUbongoUrusiViwakilishi vya kuulizaKichecheMweziVivumishi ya kuulizaUgonjwa wa ParkinsonWairaqwFasihi simuliziUmoja wa AfrikaChristina ShushoDNAUwanja wa Taifa (Tanzania)Mbaraka MwinsheheKumamoto, KumamotoBahari ya HindiUkooMaigizoMjombaMtaalaDhanaVivumishi vya idadiHektariNyumba ya MunguMvuaHarmonizeMichoro ya KondoaNomino za kawaidaVita vya KageraSimba S.C.Mkondo wa umemeUgandaEdward SokoineKhadija KopaWasukumaFasihiSerikaliNabii IsayaKitenzi kishirikishiBibliaSalaVivumishi vya kuoneshaKomaOrodha ya Marais wa ZanzibarPunyetoMaajabu ya duniaNenoTabiaNetiboliVielezi vya namnaNomino za jumlaMzabibuUtoaji mimbaNembo ya TanzaniaMajiMitume na Manabii katika UislamuUkoloni MamboleoDesturiMkojoMafumbo (semi)🡆 More