Gurudumu

Gurudumu ni mtambo mwenye umbo la duara.

Linaruhusu gari kutembea; magurudumu yanazunguka na mzigo (mfano gari) juu yake unaenda mbele kwa kutumia nguvu kidogo.

Gurudumu
Magurudumu ya ubao

Gurudumu linapunguza msuguano; badala ya msunguano wa kitu chote kinachosogea mbele kwenye ardhi kuna msuguano wa sehemu ndogo ya gurudumu na msuguano wa gurudumu kwenye ekseli yake. Msuguano kati ya ekseli na gurudumu unapunguzwa kwa njia ya kutia mafuta au kuweka beringi gololi kati ya gurudumu na ekseli.

Sehemu kubwa ya usafiri kwenye nchi kavu hutegemea magurudumu kwa mfano motokaa, lori, reli ya kawaida na baisikeli. Magurudumu ni pia sehemu kubwa ya machine nyingi.

Tangu karne ya 19 magurudumu yanaviringishwa kwa matairi ya mpira na hii inanyosha mwendo wake.

Historia

Wataalamu wa historia huamini ya kwamba watu wa Babeli walikuwa wa kwanza kugundua gurudumu na kulitumia tangu mwaka 4000 KK. Watu wa China ya Kale waliligundua pia mnamo 2800 KK.

Ustaarabu za Amerika ya Kale kama Inka na Azteki waligundua gurudumu pia likatumiwa kwa vitu vya kucheza watoto lakini halikuwa na matumizi ya kikazi.

Gurudumu  Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gurudumu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Duara

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NuktambiliVipaji vya Roho MtakatifuMiikka MwambaMbossoUhindiLiverpool F.C.UzalendoHistoria ya Kanisa KatolikiViwakilishi vya idadiUfugaji wa kukuKishazi tegemeziTiktokNabii EliyaNg'ombeViunganishiKenyaKunguniJulius NyerereUtataWanyamweziLugha ya isharaVielezi vya mahaliYatimaMkoa wa TangaKifupiWahaMlo kamiliUhuru wa TanganyikaMachweoMashuke (kundinyota)Kiunzi cha mifupaHistoria ya ZanzibarMjombaKipaimaraAfyaRushwaSumakuWapareMbadili jinsiaMazingiraUfalme wa MunguHaki za binadamuWilaya ya IlemelaHerufiJimbo Kuu la Dar-es-SalaamVivumishi vya sifaUturukiUshairiMange KimambiMajeshi ya Ulinzi ya KenyaOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaDolar ya MarekaniAthari za muda mrefu za pombeKanisa KatolikiUtohoziUKUTANembo ya TanzaniaUleviMbooWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMafurikoDemokrasiaOrodha ya vitabu vya BibliaLigi ya Mabingwa AfrikaNdege (mnyama)Ugonjwa wa kuharaFonetikiMfumo katika sokaKifaruIsimujamiiMkanda wa jeshiMaria MagdalenaNguruweHistoria ya WapareBurundiKonrad Lorenz🡆 More