Gude

Campochaera Salvadori, 1878Coracina Vieillot, 1816Hemipus Hodgson, 1845Lalage Boie, 1826Lobotos Reichenbach, 1850Pericrocotus Boie, 1826Pteropodocys ],

Gude
Gude kijivu
Gude kijivu
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Corvoidea (Ndege kama kunguru)
Familia: Campephagidae (Ndege walio na mnasaba na gude)
Jenasi: Campephaga Vieillot, 1816

Gude au gudegude ni ndege wa familia Campephagidae. Spishi nyingi zina rangi ya kijivu na nyeupe tu na pengine nyeusi, spishi nyingine zina rangi kali pia kama nyekundu na njano. Hawa ni ndege wa misitu isipokuwa gude-ardhi wa Australia ambaye atokea maeneo wazi yenye miti michache. Chakula chao kuu ni viwavi (kwa sababu ya hiyo huitwa “mlaviwavi” kwa lugha nyingi) lakini wadudu wengine pia na pengine wanyama wadogo, matunda na mbegu. Hujenga tago lao kwa umbo la kikombe mtini na jike huyataga mayai 3-4 yenye rangi ya nyeupe, majani au buluu.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

CoracinaLobotos

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya viongoziMatendeAzimio la ArushaShomari KapombeIsimuJinsiaPijini na krioliKataHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBinadamuVitenzi vishiriki vipungufuShikamooFaraja KottaKuhaniHadithi za Mtume MuhammadNimoniaOrodha ya mito nchini TanzaniaJimbo Kuu la Dar-es-SalaamMbwaTenziMkoa wa MwanzaMaajabu ya duniaMichael OlungaLionel MessiSiafuHerufiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaKinembe (anatomia)Orodha ya miji ya TanzaniaWayahudiHisiaNungununguHali maadaWandaliKiambishiMavaziBarua pepeVasco da GamaUundaji wa manenoVivumishiJiografia ya UrusiSolidarityFutiNdimuRamadan (mwezi)KumbikumbiAustraliaUchumiTarbiaMuundo wa inshaNgeli za nominoMapinduzi ya ZanzibarMweziMalariaSumakuNambaUtendi wa Fumo LiyongoKiimboTanganyika (ziwa)WanyamweziVita ya Maji MajiKuhani mkuuSemantikiMapambano kati ya Israeli na PalestinaUshairiHedhiOrodha ya Marais wa UgandaIsraeli ya KaleTaasisi ya Taaluma za KiswahiliMilki ya OsmaniDini nchini TanzaniaWakingaRitifaaWandengerekoKonokono🡆 More