Gongolamboto

Gongolamboto ni kata ya wilaya ya Ilala katika mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania.

Gongolamboto iko takriban kilomita 17 kutoka kitovu cha jiji kwa kufuata Barabara ya Julius K. Nyerere na kupita Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere.

Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi walihesabiwa 63,043 . Wakati wa sensa ya mwaka 2012 ilikuwa na wakazi 57,312.

Postikodi yake ni namba 12110.

Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala kinapatikana huko.

Marejeo

Gongolamboto  Kata za Wilaya ya Ilala - Tanzania Gongolamboto 

Bonyokwa | Buguruni | Buyuni | Chanika | Gerezani | Gongolamboto | Ilala | Jangwani | Kariakoo | Kimanga | Kinyerezi | Kipawa | Kipunguni | Kisukuru | Kisutu | Kitunda | Kivukoni | Kivule | Kiwalani | Liwiti | Majohe | Mchafukoge | Mchikichini | Minazi Mirefu | Mnyamani | Msongola | Mzinga | Pugu | Pugu Station | Segerea | Tabata | Ukonga | Upanga Magharibi | Upanga Mashariki | Vingunguti | Zingiziwa


Tags:

KataMkoa wa Dar es SalaamTanzaniaWilaya ya Ilala

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Lugha ya taifaNenoVielezi vya namnaSahara ya MagharibiUhuru wa TanganyikaUchawiArudhiUkwapi na utaoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaZana za kilimoMapenziMapambano kati ya Israeli na PalestinaNomino za wingiEdward Ngoyai LowassaMunguUfugaji wa kukuMadawa ya kulevyaUturukiTupac ShakurKongoshoYerusalemuLahaja za KiswahiliMagonjwa ya machoWabunge wa Tanzania 2020NdoaMkoa wa ArushaMobutu Sese SekoKimondo cha MboziVitendawiliKenyaKichochoDini asilia za KiafrikaHistoria ya IranJohn Samwel MalecelaMkoa wa SimiyuMafua ya kawaidaAfrika KusiniSayansiAdolf MkendaDodoma MakuluSensaKisaweMwakaUtohoziUti wa mgongoMbuyuFalsafaKanisa KatolikiPasakaVolkenoKiraiMimba za utotoniMavaziAla ya muzikiHifadhi ya SerengetiIntanetiNomino za kawaidaMkoa wa TaboraSamakiRitifaaCleopa David MsuyaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiHistoria ya UislamuMachweoKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiMpira wa miguuTungo sentensiMizimuUmoja wa MataifaBilioniMsumbijiOrodha ya nchi za AfrikaNomino za jumlaFacebookVieleziKishazi tegemezi🡆 More