Ethanoli

Ethanoli (pia: alkoholi ethili) ni dawa lililopo ndani ya aina zote za vinywaji vya pombe.

Ethanoli
Muundo wa kikemia wa ethanoli. C ni kaboni, H ni hidrojeni na O ni oksijeni.
Ethanoli
Molekuli ya ethanoli (hidrojeni ni nyeupa, kaboni ni kijivu na oksijeni nyekundu)
Ethanoli
A bottle of Ethanol

Kikemia ni kampaundi ogania inayopatikana kama kiowevu kisicho na rangi. Ikiwa ni dawa safi inawaka haraka lakini mara nyingi hupatikana kama mchanganyiko pamoja na maji katika aina za pombe; hapa inawaka tu kama asilimia yake inapita kiwago cha 60%.

Fomula yake ni C2H5OH inayoandikwa pia C2H6O. Ni dawa lenye tabia ya sumu kiasi kwa mwili wa kibinadamu pia ina tabia ya kuyeyusha.

Ethanoli kama fueli

Ethanoli ina pia matumzi ya fueli badala ya petroli. Inawaka ndani ya injini ama peke yake au ndani ya mchanganyiko wa petroli na ethanoli.

Nchini Brazil ethanoli hutengenezwa kwa wingi kutokana na miwa na sasa inatosheleza asilimia 18 ya mahitaji ya fueli ya magari katika nchi hii. Watu wengine wanaona tatizo katika teknolojia hii maana mashamba makubwa yanatumiwa kwa miwa hayapatiokani tena kwa vyakula na maeneo makubwa ya misitu asilia yametumiwa pia..

Marejeo

Viungo vya Nje

Ethanoli  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ethanoli kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Pombe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

NungununguHussein KaziUkooInjili ya MathayoNyangumiDhanaMashuke (kundinyota)MkonoIdi AminAlama ya uakifishajiWahaVita ya Maji MajiUchawiUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaMichezo ya watotoViwakilishi vya kuoneshaSayansiUkristoFisiAina za manenoBahari ya HindiShambaUkatili wa kijinsiaMajigamboDodoma (mji)UislamuDuniaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaUshairiApril JacksonWazaramoAjuzaKipazasautiKizunguzunguPesaNdovuTetemeko la ardhiNgonjeraHistoria ya IranBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiUhakiki wa fasihi simuliziUkwapi na utaoLilithUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaGazetiBarabaraMnyamaUundaji wa manenoAslay Isihaka NassoroMatiniTanganyika (ziwa)Uenezi wa KiswahiliKiraiJuxLingua frankaChawaViwakilishi vya kumilikiInshaMwarobainiMarekaniSanaa za maoneshoTupac ShakurZodiakiUnyagoVitenzi vishiriki vipungufuMwakaMimba za utotoniMadhehebuAla ya muzikiMkoa wa Dar es SalaamNjia ya MachoziPasaka ya Kiyahudi🡆 More