Diokletian

Gaius Aurelius Valerius Diocletianus (takriban 245 – takriban 312) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 20 Novemba 284 hadi 1 Mei 305 alipojiuzulu.

Alimfuata Numerian.

Diokletian
Diocletian

Kwanza alitawala dola zima, lakini 1 Machi 286 alimteua Maximian kutawala sehemu za Magharibi.

Ni maarufu kwa kuendesha dhuluma kali zaidi ya serikali ya Dola la Roma dhidi ya Wakristo.

Tazama pia

Diokletian  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diokletian kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1 Mei20 Novemba245284305312Dola la RomaKaizariKaizari Numerian

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BurundiMofimuAntibiotikiKabilaVitenzi vishirikishi vikamilifuHoma ya matumboKipindupinduMjasiriamaliAli Hassan MwinyiWairaqwBunge la TanzaniaUtamaduni wa KitanzaniaMbwana SamattaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaAmri KumiRufiji (mto)JipuMatiniIniAsili ya KiswahiliMashariki ya KatiPunyetoUandishi wa ripotiNominoUharibifu wa mazingiraHarusiTanzaniaWordPressHistoria ya UislamuBukayo SakaMkoa wa KilimanjaroAfrika KusiniKumamoto, KumamotoAmfibiaUmaskiniEmmanuel John NchimbiNusuirabuShikamooVivumishi vya -a unganifuSiasaMivighaTarbiaMkoa wa RuvumaJiniBundiPasifikiNomino za wingiWazaramoViwakilishi vya kumilikiNyumba ya MunguWema SepetuFani (fasihi)JangwaMwanaumeEverest (mlima)Ukristo nchi kwa nchiVivumishi vya jina kwa jinaOrodha ya Marais wa TanzaniaViwakilishi vya urejeshiMtotoKylian MbappéJohn MagufuliP. FunkZana za kilimoOrodha ya Marais wa MarekaniAbedi Amani KarumeAsidiDiniNdiziMwanga wa JuaVielezi vya mahaliKitabu cha Yoshua bin SiraJokate MwegeloMjomba🡆 More