Darasa

Darasa (kutoka neno la Kiarabu) ni jengo au chumba ambamo mafunzo ya elimu hutolewa, hasa shuleni.

Darasa
Darasa la shule ya msingi.
Darasa
Darasa katika De La Salle University huko Manila, Ufilipino
Darasa
Darasa la majadiliano katika Shimer College.
Darasa
Darasa la University of Cape Town.
Darasa
Darasa la Wuhan University, mwaka 1930 hivi.

Madarasa hayo hujengwa ili kunapotokea jua, mvua, vumbi au chochote kile ambacho kinaweza kuleta madhara au usumbufu kwa wanafunzi wasipatwe nacho.

Kwa kawaida darasa huwa na ubao wa kufundishia, madawati ya wanafunzi, pia meza ya walimu n.k.

Darasa ni pia jina la mkondo wa wanafunzi wanaosomea humo, na la somo linalofundishwa.

Darasa Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Darasa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChumbaElimuJengoKiarabuNeno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dubai (mji)TashbihaBiblia ya KikristoUjamaaMavaziPasaka ya KiyahudiOrodha ya Marais wa BurundiUwanja wa Taifa (Tanzania)SayariMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaTafsiriWanyamweziFonolojiaMfumo wa nevaBiashara ya watumwaNevaMorokoAlama ya uakifishajiZakayoMimba kuharibikaAmfibiaKamusi ya Kiswahili sanifuSahara ya MagharibiMadhehebuVivumishi vya sifaVipaji vya Roho MtakatifuUtamaduniArudhiMartha MwaipajaRaiaShambaClatous ChamaNyimbo za jadiViwakilishiKitenzi kikuu kisaidiziUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiZama za ChumaKiwakilishi nafsiEthiopiaUfilipinoNahauAntibiotikiKisononoOrodha ya Watakatifu wa AfrikaUnyevuangaKunguniVichekeshoGhanaMwanzo (Biblia)KukuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUchawiUtafitiWizara za Serikali ya TanzaniaKilimanjaro (volkeno)KisimaWachaggaInsha zisizo za kisanaaBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiShuleKiumbehaiDhima ya fasihi katika maishaHistoria ya AfrikaWapareLil WaynePandaHuduma ya ujumbe mfupiKito (madini)Mohamed HusseinZuchuFamiliaUfugaji wa kukuUyahudiUandishi wa barua ya simu🡆 More