Dstv

DStv (kifupi cha: Digital Satellite Television) ni kampuni ya kutangaza huduma za satelaiti inayomilikiwa na MultiChoice.

Dstv
DStv.

Huduma hiyo ilizinduliwa mwaka 1995 na hutoa huduma nyingi kwa wanachama wao, ambao kwa sasa ni idadi ya karibu milioni 11.9. Wengi wa wanachama wako Afrika Kusini, Nigeria, Kenya, Ghana, Angola, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Mauritius, Msumbiji, Tanzania, Lesotho, Ethiopia, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Eswatini na Botswana ambayo pia inahudumiwa na kampuni hiyo.

Dstv Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DStv kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

KampuniKifupiSatelaiti

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DamuZama za MawePaul MakondaSaratani ya mlango wa kizaziVitenzi vishirikishi vikamilifuKata za Mkoa wa Dar es SalaamBurundiMapambano ya uhuru TanganyikaHifadhi ya SerengetiDivaiShinikizo la juu la damuMofimuDubaiUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMtakatifu PauloBunge la TanzaniaKhadija KopaLahaja za KiswahiliUfugaji wa kukuBunge la Afrika MasharikiUislamuOrodha ya Marais wa TanzaniaUainishaji wa kisayansiMauaji ya kimbari ya RwandaNgono zembeMkoa wa NjombeNafsiTasifidaMichael JacksonMkoa wa TangaMfumo wa upumuajiMwanga wa JuaLigi ya Mabingwa UlayaErling Braut HålandUtataDoto Mashaka BitekoWaheheVivumishi vya pekeeJiografia ya TanzaniaKorea KusiniMsamiatiVivumishi vya sifaUtapiamloUgonjwaHektari17 ApriliOrodha ya Magavana wa TanganyikaSerikaliMtaguso wa kwanza wa NiseaMkoa wa Dar es SalaamKatibaKinjikitile NgwaleDhahabuKiunguliaMadawa ya kulevyaUngujaMbuga za Taifa la TanzaniaMeridianiJogooJulius NyerereNairobiIrene UwoyaVivumishi vya kumilikiOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMtume PetroMadhehebuMajira ya baridiUfugajiJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaBakari Nondo MwamnyetoUsawa (hisabati)NahauUti wa mgongoMlonge🡆 More