María Corazón Sumulong Cojuangco-Aquino (25 Januari 1933 – 1 Agosti 2009) anafahamika zaidi kwa jina la Cory Aquino, alikuwa Rais wa 11 kwa nchi ya Ufilipino, ambaye alitumikia taifa hilo tangu mwaka wa 1986 hadi 1992.
Aquino, ndiyo mwanamke wa kwanza kuwa Rais kwa nchi ya Ufilipino na ni wa kwanza kwa nchi za Asia.
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Corazon Aquino kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Corazon Aquino, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.