Cable News Network (Kifupi: CNN) ni stesheni ya runinga inayotangaza habari iliyoanzishwa na Ted Turner mnamo 1980.
CNN ilikuwa stesheni ya kwanza inayotangaza habari masaa 24. Makao yake makuu yako mjini Atlanta, ingawa ina vituo vingine mjini New York, Washington, D.C. na Los Angeles. Kauli yake mbiu ni The Worldwide Leader in News.
Jumatatu - Ijumaa | ||||
---|---|---|---|---|
North American Eastern Standard Time Zone|ET | Kipindi | Mwanahabari | Jiji | Maelezo |
John Roberts and Kiran Chetry | New York | morning news program. | ||
Heidi Collins | Atlanta | Kuipindi cha kutangaza habari. | ||
Tony Harris | ||||
Kyra Phillips | ||||
Rick Sanchez | Sanchez huwasiliana na watazamaji kwa kutumia tovuti kama Twitter na Facebook. | |||
Wolf Blitzer | Washington D.C. | Kipindi kinachozingatia habari kwa ufupi, kwa kuzingatia siasa, usalama, na taarifa zenye kuwatia hamu watazamaji. | ||
Wanahabari tofauti | New York/Atlanta | Habari kwa ufupi. | ||
Campbell Brown | New York | Mahojiano kuhusu siasa na habari zinazohusu wapigaji kura. | ||
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano na watu maarufu. | ||
Anderson Cooper | New York | Kipindi cha kutangaza habari. | ||
Saturday | ||||
ET | Kipindi | Mwanahabari | Jiji | Maelezo |
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha kutangaza habari. | ||
Dr. Sanjay Gupta | New York | Kipindi cha matibabu na dawa. | ||
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha habari. | ||
Gerri Willis | New York | Kipindi kinachozingatia fedha. | ||
Betty Nguyen and T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi kinachtangaza habari. | ||
Fredricka Whitfield | ||||
Ali Velshi na Christine Romans | New York | Kipindi cha biashara. | ||
Fredricka Whitfield | Atlanta | Kipindi cha taarifa ya habari. | ||
Don Lemon | ||||
Wolf Blitzer | Washington D.C. | Kipindi cha habari za siasa. | ||
Don Lemon | Atlanta | Kipindi cha habari. | ||
Kipindi tofauti tofauti | ||||
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano. | ||
Don Lemon | Atlanta | Kipindi cha habari. | ||
Jumapili | ||||
ET | Kipindi | Mtangazaji | Jiji | Maelezo |
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha taarifa ya habari. | ||
Dr. Sanjay Gupta | New York | Kipindi cha matibabu. | ||
Betty Nguyen na T. J. Holmes | Atlanta | Kipindi cha habari. | ||
John King | Washington D.C. | Kipindi cha siasa. | ||
Howard Kurtz | Reliable Sources ni kipindi cha kuzingatia uanahabari. | |||
John King | kipindi cha siasa. | |||
Fareed Zakaria | Hubadilika | Majadiliano kuhusu habari za kimataifa. | ||
Christiane Amanpour | Hubadilika | Majadiliano kuhusu habari za kimataifa. | ||
Your $$$$$ | Ali Velshi na Christine Romans | New York | Kipindi cha habari za kimataifa. | |
Fredricka Whitfield | Atlanta | Taarifa ya habari. | ||
Fareed Zakaria | Hubadilika | Mahojiano kuhusu habari za kimataifa. | ||
Don Lemon | Atlanta | Taarifa ya habari. | ||
Larry King | Los Angeles | Kipindi cha mahojiano. | ||
Don Lemon | Atlanta | Taarifa ya habari. |
Ofisi zingine duniani | |
|
|
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article CNN, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.