Budapest

Budapest ni mji mkuu wa Hungaria, pia mji wake mkubwa wenye wakazi milioni 1.7.

Budapest
Bunge la Hungaria mjini Budapest.

Mto Danubi unatiririsha maji kupitia Budapest.

Mji wa leo ulianzishwa mwaka 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.

Jiografia

Bupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima Janos wenye kimo cha mita 527.

Picha

Utamaduni

Budapest  Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Budapest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HungariaMilioniMjiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mfumo wa JuaYouTubeMkataba wa Helgoland-ZanzibarBabuDolaUyakinifuHorusVielezi vya namnaUnyevuangaTiba asilia ya homoniChelseaTenziMwanga wa JuaUmemeItikadiShangaziMtakatifu PauloMichezoWahaSikioWachaggaHistoria ya TanzaniaNyangumiNgw'anamalundiUsafi wa mazingiraMaliasiliSteve MweusiMuzikiTarakilishiMandhariHeshimaUpendoVivumishiBahashaShairiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaVihisishiMvuaMizimuInjili ya MathayoSimba S.C.BinadamuHekaya za AbunuwasiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaGeorge WashingtonKiingerezaMkoa wa MbeyaMsalaba wa YesuKalenda ya KiislamuNadhariaMuundoJakaya KikweteSheriaLilithYerusalemuKisimaKinywajiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaMr. BlueKihusishiKaswendeUjuziNomino za dhahaniaInsha ya kisanaaMaskiniVita ya Maji MajiViwakilishi vya idadiUkoloniSalim KikekeMahakama ya TanzaniaEdward Ngoyai LowassaTanganyikaUbunifu🡆 More