Bismuthi ni elementi nururifu yenye namba atomia ya 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 209.980. Jina latokana katika lugha ya Kijerumani lakini maana hayajulikani tena.
Bismuthi (bisemutum; kiing. Bismuth) | |
---|---|
Jina la Elementi | Bismuthi (bisemutum; kiing. Bismuth) |
Alama | Bi |
Namba atomia | 83 |
Mfululizo safu | Metali |
Uzani atomia | 208.980 |
Valensi | 2, 8, 18, 32, 18, 5 |
Densiti | 9.78 g/cm³ |
Ugumu (Mohs) | {{{ugumu}}} |
Kiwango cha kuyeyuka | 544.7 K (271.5 °C) |
Kiwango cha kuchemka | 1837 K (1564°C) |
Asilimia za ganda la dunia | 2 · 10-5 % |
Hali maada | mango |
Mengineyo | nururifu kidogo; Bismuthi tupu ina umbo la fuwele |
Ni metali nzito na kechu yenye rangi nyeupe-nyekundu lakini inaonekana kwa rangi mbalimbali. Tabia zake hufanana na antimoni na asenia lakini si sumu vile.
Mwaka 2003 imetambuliwa kuwa Bismuthi ni nurufifu kidogo. Lakini nusumaisha yake ni takriban miaka trilioni 19 hivyo haina hatari kwa binadamu.
Hutumiwa kwa madawa ya vipodozi na madawa ya kiganga. Bismuthi imechukua nafasi ya metali ya risasi katika madawa kwa sababu si sumu. Kuna pia matumizi katika teknolojia mbalimbali.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Bismuthi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Bismuthi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.