Baraza La Mitihani La Tanzania

National Examinations Council of Tanzania (NECTA; Baraza la Mitihani Tanzania) ni wakala wa serikali ya Tanzania, yenye makao yake makuu Dar es Salaam, ambayo inasimamia mitihani yote inayotolewa kitaifa.

Inasimamia Mitihani ya Kitaifa ya Darasa la Nne (SFNA), Mitihani ya Kuhitimu Shule ya Msingi (PSLE), Mitihani ya Kitaifa ya Kidato cha Pili (FTNA), Qualifying Test (QT), Mitihani ya Kitaifa ya kidato cha nne (CSEE), Mitihani ya Kitaifa ya kidato cha sita (ACSEE), Mtihani wa Cheti cha Ualimu Daraja A (GATCE),Mtihani wa Cheti Maalum cha Ualimu wa Daraja A (GATSCCE),Diploma in Technical Examination (DTE) na Mtihani wa Stashahada ya Elimu ya Sekondari (DSEE).

Historia

Imeanzishwa mnamo tarehe 21 Novemba 1973. Kabla ya wakati huo Baraza la Mitihani la Afrika Mashariki (EAEC) lilisimamia Tanzania Bara na Zanzibar.Baraza la pili lilijiondoa kutoka (EAEC) mwaka wa 1970, na Wizara ya Elimu Tanzania (MoE) Sekta ya Mitaala na Mitihani ilichukua muda mfupi katika utayarishaji wa mitihani ya Tanzania Bara ilipojiondoa kutoka (EAEC) mwaka 1971. Serikali ya Tanzania ilianza kuajiri watumishi wa NECTA mwaka 1971, na Sheria ya Bunge namba 21 ya mwaka 1973 ilianzisha NECTA.

Marejeo

Baraza La Mitihani La Tanzania  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Baraza la Mitihani la Tanzania kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Dar es SalaamMakao makuuSerikaliTanzania

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BloguSoko la watumwaUchorajiViunganishiNamba za simu TanzaniaKaswendeAbrahamuMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaTovutiKarafuuNomino za jumlaKisaweUlemavuUsanisinuruShinaKassim MajaliwaPapa (samaki)Hifadhi ya NgorongoroJongooOrodha ya miji ya Afrika KusiniMnazi (mti)ShairiKongoshoNgekewaUtenzi wa inkishafiIsimilaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaTendiZama za ChumaOrodha ya visiwa vya TanzaniaUgonjwaHekimaLatitudoUnyevuangaUkooAsili ya KiswahiliNimoniaChuraJinaZama za MaweMoses KulolaMsituDiniChatGPTMisimu (lugha)MofimuArsenal FC23 ApriliMkoa wa GeitaNyaniVivumishi vya idadiDodoma (mji)Afrika ya MasharikiMoyoWamasaiWikiSteve MweusiMaigizoUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Kiambishi awaliAli KibaUtamaduni wa KitanzaniaMillard AyoSheriaKipandausoMikoa ya TanzaniaRose MhandoHistoria ya WapareMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaSimba S.C.Orodha ya Watakatifu WakristoRadiUandishiUtoaji mimbaLionel MessiMbu🡆 More