Balagha

Balagha (kutoka neno la Kiarabu) ni usemi ambao kwa makusudi mazima hutia chumvi katika simulizi au mazungumzo ili msomaji au msikilizaji avutiwe kufuata kilichoandikwa au kinachosemwa.

Ni pia ufundi wa kuuliza hadhira maswali yasiyo na majibu kwa lengo la kuvuta hisia na kufurahisha.

Swali la namna hiyo lisilohitaji jibu na mtu anayetumia mbinu hiyo wanaitwa vilevile balagha.

Tamathali ya namna hiyo inapamba sentensi na kuifanya pengine iwe sanaa.

Balagha Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Balagha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

ChumviKiarabuMazungumzoMsomajiNenoUsemi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DivaiUpinde wa mvuaFananiKupatwa kwa JuaMichoro ya KondoaJakaya KikweteHektariUpendoNamba ya mnyamaMusaKisononoUtohoziUtamaduniKibena (Tanzania)HarusiAntibiotikiWashambaaWamasoniMbooMikoa ya TanzaniaRitifaaShahawaHistoria ya KanisaNdiziMkoa wa IringaMaana ya maishaHekalu la YerusalemuWangoniZanzibar (Jiji)Alama ya barabaraniTungo sentensiBabeliBakari Nondo MwamnyetoLugha ya taifaMsamiatiMwanga wa JuaNyumbaUfugajiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaKinjikitile NgwaleYerusalemuUtapiamloUchawiNileFalme za KiarabuLugha ya kwanzaRisalaHisiaMkwawaInsha za hojaDaudi (Biblia)Kajala MasanjaMeno ya plastikiAfrika Mashariki 1800-1845Steve MweusiMofimuJinsiaWizara za Serikali ya TanzaniaDNAUhakiki wa fasihi simuliziMoshi (mji)Ee Mungu Nguvu YetuMapambano ya uhuru TanganyikaOrodha ya milima mirefu dunianiHistoria ya IsraelTafsidaAli KibaMkanda wa jeshiOrodha ya nchi za AfrikaMajira ya baridi🡆 More