Baharia: Mtu anaefanya kazi kwenye meli,mashua au jahazi

Baharia (pia mwanamaji.

hasa kwa kutaja mabaharia wa kijeshi) ni mtu anayefanya kazi kwenye chombo cha usafiri majini, hasa baharini kama vile boti, mashua, jahazi au meli. Mkuu wao ni nahodha au kapteni wa chombo.

Baharia: Mtu anaefanya kazi kwenye meli,mashua au jahazi
Mabaharia wakiangalia kung'oa kwa nanga wakati wa kutoka bandarini
Baharia: Mtu anaefanya kazi kwenye meli,mashua au jahazi
Mabaharia Wajerumani kwenye kazi ya usafi wa sitaha ya jahazi mnamo 1968.

Kuna kazi nyingi tofauti zinazotekelezwa na mabaharia. Katika mashua au jahazi ndogo mabaharia wote wanafanya kazi pamoja ilhali kazi sahili na ngumu zaidi hupewa kwa wale walio vijana. Kadri jinsi meli ni kubwa zaidi shughuli zinagawiwa baina ya mabaharia wenye ufundi fulani.

Meli kubwa unaweza kuwa na idara tofauti kama vile

Hapo kapteni atakuwa na kundi la maafisa wake wanaosimamia idara mbalimbali baada ya kupitia mafunzo na mitihani maalumu kwa ajili ya shughuli zao.

Viungo vya nje

Tags:

BotiJahaziKaziMajiMashuaMeliMtuNahodhaUsafiri

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya milima mirefu dunianiKinjikitile NgwaleWahaDiwaniHisiaKupatwa kwa MweziKiambishi awaliWamalilaMadawa ya kulevyaNg'ombeShinikizo la juu la damuPunyetoTabianchi ya TanzaniaNgono zembeUbaleheBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiSinagogiEstrojeniHistoria ya KiswahiliUtawalaChuo Kikuu cha Dar es SalaamRitifaaFalsafaRihannaHafidh AmeirOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaMbwana SamattaMbogaMadhara ya kuvuta sigaraViwakilishi vya -a unganifuNahodhaDhanaUbadilishaji msimboMeta PlatformsJokofuVielezi vya namnaPanziMlongeMwanzo (Biblia)UchawiMaambukizi nyemeleziBikira MariaBikiraMkoa wa DodomaShengKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniFasihi andishiChelseaMungu ibariki AfrikaMsitu wa AmazonSemiRayvannyNdoaVivumishi vya idadiHoma ya mafuaUngujaKitenzi kishirikishiMwanzoUhindiBabeliOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiMachweoXabi AlonsoNgano (hadithi)Mwana wa MunguVita ya Maji MajiKiarabuTungo kiraiSemantikiMkanda wa jeshiManchester United F.C.IsimuRoho Mtakatifu🡆 More