Anime

Anime ni istilahi ya kutaja Animation au katuni hai kwa lugha ya Kijapani.

Asili yake hasa ni Kiingereza, lakini katika baadhi ya sehemu, istilahi hii humaanisha "Japanese Animation", yaani, Katuni za Kijapani. Lakini nchini Japani, anime huwa wanalitumia pia kwa katuni yoyote ile bila kutazama maana halisi kwa lugha yao.

Anime
Momotarō: Umi no shinpei, 1945

Baadhi ya katuni huchorwa kwa mkono, lakini vilevile zinaweza kutengenezwa kwa kutumia kompyuta. Kuna aina chungu nzima ya anime; unaweza kupata anime kuhusu michezo, mazingaombwe au mahaba. Hii ni baadhi ya mifano.

Anime huoneshwa katika televisheni, DVD na VHS, pia hutumiwa katika michezo ya video ya kompyuta.

Baadhi ya katuni za anime ni filamu, lakini zina wahusika wa hali za kikatuni na animation badala ya kuweka watu na maeneo ya kweli.

Anime hasa hutokana na kitabu cha katuni cha Kijapani kinachoitwa Manga na riwaya za picha. Wakati mwingine filamu za kawaida, yaani, filamu zinazohusisha mazingira ya kweli watu, mahali, na kadhalika huwa zinatokana na mifululizo ya anime.

Historia ya anime nchini Japani hutazamwa hasa kuanza kunako miaka ya 1900.

Baadhi ya anime

  • Kodomo
  • Shonen
  • Shojo
  • Seinen
  • Josei
  • Ecchi
  • Hentai
  • Harem
  • Reverse Harem

Tazama pia

  • Manga
  • Otaku
  • Cosplay
  • Hentai

Tags:

AsiliIstilahiJapaniKatuniKiingerezaKijapaniLugha

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KatibaKomaUkoloniBaraza la mawaziri Tanganyika 1961PapaVielezi vya namnaMnazi (mti)FonetikiAlomofuTabiaMkwawaHistoria ya WokovuMachweoMungu ibariki AfrikaBaruaWikipediaNamba za simu TanzaniaKitenzi kikuu kisaidiziHoma ya matumboUturukiUfahamuVieleziOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJogooNyangumiShetaniNafakaVivumishi vya pekeeKombe la Dunia la FIFAUchawiUtohoziNdovuElimuHoma ya mafuaKitenziTiktokUwanja wa Taifa (Tanzania)SentensiUjimaMuundo wa inshaNgiriBwehaMakabila ya IsraeliIntanetiMisemoTarafaKunguniUtumwaNishatiUsanisinuruRiwayaMivighaUandishi wa ripotiKalenda ya KiislamuMwanga wa JuaLigi Kuu Uingereza (EPL)BahatiWazaramoPunyetoMichael JacksonUhakikiP. FunkMkoa wa PwaniFalme za KiarabuLenziNafsiMjombaKitomeoKajala MasanjaAntibiotikiMaudhui katika kazi ya kifasihiMapenziUmoja wa Ulaya🡆 More