Alumni

Alumni ni neno la kutaja watu waliokuwa wanafunzi wa chuo kikuu fulani.

Asili ya neno ni lugha ya Kilatini ni uwingi wa alumnus inayomaanisha "anayelelewa, anayelishwa".

Desturi ya kuunda umoja wa wanafunzi wa kale wachuo fulani ilianzishwa huko Marekani kwa shabaha ya kupata msaada wa watu wenye kazi njema na mapato mema walio tayari kusaidia chuo chao cha zamani. Alumni wanajitolea kwa hali na mali, kwa kukipa chuo chao pesa, kwa kutumia athira yao katika siasa kwa ajili ya sheria za kusaidia elimu, kwa kuwapa wanafunzi wachuo chao nafasi za ajira na kadhalika.

Siku hizi kuna vyama vingi vya alumni

Tags:

Chuo kikuuKilatini

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UaMapambano kati ya Israeli na PalestinaVAskofuUjimaKongoshoRohoMgawanyo wa AfrikaKihusishiUgonjwaYatimaTogoUundaji wa manenoOrodha ya majimbo ya MarekaniMadhara ya mabadiliko ya hali ya hewaKatibuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaZakaOrodha ya vitabu vya BibliaShairiMizengo Kayanza Peter PindaMwezi (wakati)Afrika Mashariki 1800-1845Chuo Kikuu cha Dar es SalaamMfumo katika sokaHistoria ya Kanisa KatolikiKamariMaudhuiMaghaniWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)Mkoa wa MorogoroKiswahiliAkiliChe GuevaraVipera vya semiKiwamboSeli za damuBakteriaUandishi wa barua ya simuPaa (maana)FMkanda wa jeshiTetekuwangaNchiKiraiBarua pepeRamaniUtendi wa Fumo LiyongoMazingiraKichochoUpendoUyahudiAgano la KaleHerufiItifakiNamba za KiromaNamba tasaSerikaliTungo sentensiMwanzo (Biblia)MsituOrodha ya miji ya TanzaniaDemokrasia ya moja kwa mojaOrodha ya viwanja vya michezo TanzaniaNomino za kawaidaVichekeshoAlomofuMmeng'enyoMkoa wa ManyaraAli KibaMawasilianoZiwa Viktoria🡆 More