Fedha

Fedha kwa maana ya malipo au sarafu angalia makala ya pesa

Fedha
Fedha

Fedha (kutoka Kiarabu فضة fiddtan) ni elementi na metali yenye kifupi cha Ag (kutoka Kilatini: argentum) na namba atomia 47 katika mfumo radidia. Uzani atomia ni 107.86. Fedha huyeyuka kwa 1234.93 K (961.78°C) na kuchemka kwa 2435 K (2162°C).

Kiasili yatokea kama metali nyeupenyeupe na laini au kama mchanganyiko katika madini. Kati ya metali zote fedha ni wayaikaji na inapitisha vizuri umeme.

Fedha - Pesa

Huhesabiwa kati ya metali adimu na katika historia imetumiwa mara nyingi kama metali ya kutengenezea sarafu. Kwa sababu hiyo mara nyingi kwa Kiswahili neno "fedha" linatumiwa sawa na "pesa" au "sarafu".

Fedha  Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Fedha kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Pesa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Simba S.C.Insha zisizo za kisanaaMaghaniReal MadridItikadiBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiJuxWayahudiBikira MariaDoto Mashaka BitekoUjuziMkutano wa Berlin wa 1885KihusishiWabondeiDawatiPaka (maana)MazingiraViwakilishi vya kuulizaMatendo ya MitumeUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiJohn MagufuliWimboMkoa wa NjombeUhuru wa TanganyikaMandhariDemokrasiaMajigamboKibodiJulius NyerereBabeliMaliasiliMbuniMkoa wa SingidaWabena (Tanzania)Madawa ya kulevyaUyogaSintaksiKitomeoAdolf HitlerInjili ya MathayoIsraeli ya KaleMadhehebuMichezo ya watotoMkanda wa jeshiMuundo wa inshaYesuJinaDuniaFalme za KiarabuNelson MandelaLongitudoTahajiaOrodha ya mito nchini TanzaniaBaraHifadhi ya NgorongoroMisimu (lugha)FacebookPundaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaKampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya MasharikiLakabuNambaAkiliKiumbehaiManchester United F.C.UtohoziNominoMaigizoMtotoWagogo🡆 More