Abrahamu Wa Minuf

Abrahamu wa Minuf (aliishi karne ya 4) ni kati ya Wakristo wamonaki wa Misri, mwanafunzi wa Pakomi.

Baada ya miaka 23 aliruhusiwa kuishi kama wakaapweke pangoni aliotoka kwa ajili ya kupokea ekaristi tu, kila baada ya miaka 2-3, hadi alipofariki miaka 16 baadaye.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Mei.

Tazama pia

Tanbihi

Viungo vya nje

  • Holweck, F. G. A Biographical Dictionary of the Saints. St. Louis, MO: B. Herder Book Co. 1924.
  • The Coptic Encyclopedia / Aziz S. Atiya editor in chief. — Macmillan Publishing Company, 1991. — Vol. I-VIII. — ISBN 0-02-897025-X.
  • "Claremont Coptic Encyclopedia". Claremont Colleges Digital Library. 
Abrahamu Wa Minuf  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Karne ya 4MisriMwanafunziPakomiWakristoWamonaki

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

WasabatoUsafi wa mazingiraMkoa wa SingidaMito ya KenyaDhahabuVitaZeruzeruRejistaKupatwa kwa JuaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaNevaWilaya ya HandeniMsitu wa AmazonNduniMkoa wa LindiMbeya (mji)Kilimanjaro (volkeno)Manchester United F.C.Hifadhi ya SerengetiKiini cha atomuKibwagizoJulius NyerereWaluguruAfrika ya Mashariki ya KijerumaniNyotaMbeyaBaraza la Wawakilishi wa ZanzibarHistoria ya WapareVita vya KageraChelseaMbooUfupishoMange KimambiMajiJinsiaHekimaJuxViwakilishi vya kuulizaAngahewaDaudi (Biblia)IsimujamiiLongitudoMbwana SamattaKoroshoZuchuTovutiHistoria ya KanisaUsultani wa ZanzibarHeshimaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKamusi ya Kiswahili sanifuMkataba wa Helgoland-ZanzibarKasisiChelsea F.C.UjimaOrodha ya Marais wa ZanzibarWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiNyegereDawa za mfadhaikoMsituWaheheTanganyika African National UnionVielezi vya idadiUnju bin UnuqMishipa ya damuWilaya ya IlalaKiarabuHali ya hewaMafumbo (semi)Wallah bin WallahZabibuMatendo ya MitumeKiimboZiwa Viktoria🡆 More