Abner Vinícius: Mchezaji wa mpira wa miguu

Abner Vinícius da Silva Santos (anayejulikana kama Abner Vinícius au kwa urahisi zaidi Abner tu; alizaliwa 27 Mei 2000) ni mwanasoka wa Brazil ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa Athletico Paranaense.

Kazi

Abner alianza kazi yake ya kucheza mpira katika ngazi ya vijana kewenye klabu ya nyumbani iliofaamika kama Grêmio Prudente. Kisha alikuwa na kipindi kifupi katika klabu ya Mogi Mirim, kabla ya kujiunga na na klabu Ponte Preta mnamo 2017. Alipandishwa kuitumikia timu ya wakubwa mnamo 2019 na akafanya mazoezi yake ya kwanza mnamo 16 Machi 2019, kwenye mechi ya Derby Campineiro dhidi ya klabu ya Guarani kwenye uwanja wa Campeonato Paulista 2019, ambayo Ponte Preta ilishinda 3-0. Alifunga bao lake la kwanza la kitaaluma mnamo 25 Mei 2019, ambalo lilikuwa bao la tatu kwa Ponte katika ushindi wa magoli 4-2 dhidi ya klabu ya Paraná kwenye mechi ya ligi.

Marejeo

Tags:

200027 MeiBekiBrazilMpira wa miguu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TasifidaMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaViwakilishi vya sifaMuhammadSumakuWizara za Serikali ya TanzaniaUngujaKataNomino za dhahaniaFonimuAslay Isihaka NassoroJamhuri ya Watu wa ZanzibarUkwapi na utaoUkimwiMjasiriamaliErling Braut HålandUongoziVivumishi vya urejeshiBibliaOrodha ya milima mirefu dunianiUfahamuIdhaa ya Kiswahili ya Radio TehranDubaiSintaksiKichochoBendera ya ZanzibarMawasilianoUandishi wa ripotiMtoto wa jichoMkanda wa jeshiVivumishiMtawaKhadija KopaUnyanyasaji wa kijinsiaMeno ya plastikiAsidiMwanga wa JuaUislamuJipuKiswahiliUNICEFMatumizi ya lugha ya KiswahiliOrodha ya visiwa vya TanzaniaYerusalemuPepopundaShikamooMaktabaUhifadhi wa fasihi simuliziMkoa wa LindiKitomeoAina za udongoCristiano RonaldoJinsiaMazingiraKalenda ya KiislamuBarua rasmiIbadaNenoLughaMariooViwakilishi vya idadiMichoro ya KondoaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaKomaBiblia ya KikristoUhakikiOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoVitendawiliMtaalaFasihi andishiMshubiriJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMagimbi🡆 More