20Th Century Studios

20th Century Studios (ilijulikana kuanzia 1935 hadi 1985 kama Twentieth Century-Fox Film Corporation) ni kampuni kubwa ya Marekani inayojishughulisha na utengenezaji wa filamu.

20Th Century Studios
Nembo ya 20th Century Studios

Studio ipo mjini Century City katika eneo la Los Angeles, California, Marekani, yaani magharibi mwa Beverly Hills. Studio hii ni kampuni tanzu ya News Corporation, shirikisho la vyombo vya habari linalomilikiwa na Rupert Murdoch.

Twentieth Century Fox ilianzishwa mnamo 1935 pale Fox Film Corporation na Twentieth Century Pictures walipoungana na kuunda kampuni. 20th Television ni moja ya sehemu ya kampuni ambayo hasa hujishughulisha na masuala ya utayarishaji wa vipindi vya tevisheni.

Viungo vya Nje

20Th Century Studios  Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 20th Century Studios kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19351985

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Shirika la Utangazaji TanzaniaMaigizoOrodha ya shule nchini TanzaniaKombe la Mataifa ya AfrikaIntanetiNdege (mnyama)WanyamboRiwayaYouTubeMkataba wa Helgoland-ZanzibarVidonge vya majiraMkutano wa Berlin wa 1885Ufahamu wa uwezo wa kushika mimbaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziKamusi za KiswahiliNigeriaFalme za KiarabuVita Kuu ya Pili ya DuniaKiambishiMtoto wa jichoKondomu ya kikeDodoma (mji)HektariTafsidaHafidh AmeirMaskiniUhindiKitenziLingua frankaNahauNgome ya YesuOrodha ya makabila ya KenyaMitume na Manabii katika UislamuPistiliZana za kilimoNgano (hadithi)Orodha ya vitabu vya BibliaSaidi NtibazonkizaNyotaTasifidaAfrika ya MasharikiMeta PlatformsOrodha ya viongoziMlongeKunguniMange KimambiMwanza (mji)Historia ya ZanzibarMnyoo-matumbo MkubwaMkoa wa NjombeMkoa wa Geita17 ApriliKiambishi awaliMethaliNyokaKiimboRayvannyLionel MessiMfumo wa JuaMshubiriBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiNgw'anamalundiPalestinaNambaUchapajiWaziri wa Mambo ya Ndani (Tanzania)MasharikiShairiBungeBaruaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJérémy DokuTarbiaMitume wa Yesu🡆 More