Vermont ni jimbo la kujitawala la Maungano ya Madola ya Amerika au Marekani.
Iko katika kaskazini-mashariki ya nchi. Mji mkuu ni Montpelier na mji mkubwa ni Burlington. Impekana na Kanada (Quebec), New Hampshire, Massachusetts na New York. Jimbo lina wakazi wapatao 621,270 (2008) wanaokalia katika eneo la kilomita za mraba zipatazo 24,923.
Vermont | |||
| |||
Nchi | Marekani | ||
---|---|---|---|
Mji mkuu | Montpelier | ||
Eneo | |||
- Jumla | 24,901 km² | ||
- Kavu | 23,956 km² | ||
- Maji | 945 km² | ||
Tovuti: http://www.vermont.gov/ |
Majimbo ya Marekani |
---|
Alabama • Alaska • Arizona • Arkansas • California • Colorado • Connecticut • Delaware • Florida • Georgia • Hawaii • Idaho • Illinois • Indiana • Iowa • Kansas • Kentucky • Louisiana • Maine • Maryland • Massachusetts • Michigan • Minnesota • Mississippi • Missouri • Montana • Nebraska • Nevada • New Hampshire • New Jersey • New Mexico • New York • North Carolina • North Dakota • Ohio • Oklahoma • Oregon • Pennsylvania • Rhode Island • South Carolina • South Dakota • Tennessee • Texas • Utah • Vermont • Virginia • Washington • West Virginia • Wisconsin • Wyoming |
Makala hii kuhusu maeneo ya Marekani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vermont kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Vermont, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.