Budapest

Budapest ni mji mkuu wa Hungaria, pia mji wake mkubwa wenye wakazi milioni 1.7.

Budapest
Bunge la Hungaria mjini Budapest.

Mto Danubi unatiririsha maji kupitia Budapest.

Mji wa leo ulianzishwa mwaka 1873 kwa kuunganisha miji mitatu ya jirani ya Buda, Obuda na Pest.

Jiografia

Bupapest iko mahali ambako mto Danubi umetoka katika milima ya Hungaria ya Kati na kuingia katika tambarare. Mahali pa juu mjini ni mlima Janos wenye kimo cha mita 527.

Picha

Utamaduni

Budapest  Makala hii kuhusu maeneo ya Hungaria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Budapest kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HungariaMilioniMjiMji mkuu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

BaraOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaAina za udongoMtiMkoa wa RuvumaNdiziMofimuMeridianiMafua ya kawaidaMichezo ya watotoChristina ShushoPanziKatibaTupac ShakurUyahudiJangwaHifadhi ya Taifa ya NyerereKima (mnyama)TafsidaMkondo wa umemeOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuHistoria ya WapareKidole cha kati cha kandoOrodha ya Marais wa ZanzibarKadi za mialikoKanuni ya Imani ya Nisea-KonstantinopoliSimbaMwanaumeViwakilishi vya kuulizaShambaWilaya za TanzaniaMange KimambiMadiniSheriaKifua kikuuMaumivu ya kiunoKabilaDolar ya MarekaniTamthiliaTanganyika African National UnionKonsonantiTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaBurundiVivumishi vya pekeeOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoJay MelodyAlama ya uakifishajiShuleHistoria ya IsraelUchimbaji wa madini nchini TanzaniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaKipepeoOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoUmoja wa AfrikaSaidi NtibazonkizaTabianchiOrodha ya nchi za AfrikaSintaksiChuo Kikuu cha Dar es SalaamBahari ya HindiEmmanuel John NchimbiMkojoMazingiraMtotoMweziViwakilishiMkwawaUfugaji wa kukuHadhiraMoshi (mji)Soko la watumwa🡆 More