Hisabati

Hisabati ni somo linalohusika na idadi, upimaji na ukubwa wa vitu.

Hisabati
Euklides, mwanahisabati wa Ugiriki wa Kale, karne ya 3 KK, alivyochorwa na Raffaello Sanzio.

Kwa ujumla linahusika na miundo na vielezo.

Hisabati linaundwa na masomo mbalimbali, kama hesabu, jiometria na aljebra.

Neno hisabati katika lugha ya Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu حسابات (halisi: hesabu (wingi)).

Somo hili huweza kutumika kutatua matatizo mbalimbali, lakini hasa ni la msingi katika uelewa wa ulimwengu kisayansi. Hivyo hutumiwa na masomo mengine kama Fizikia, Jiografia, Kemia katika mafunzo yake.

    Hisabati Hisabati Hisabati
    Mantiki ya kihisabati Nadharia ya seti Nadharia ya kategoria Nadharia ya kuhesabu

Historia ya Hisabati

Mwanahisabati Mjerumani Carl Friedrich Gauss aliita hisabati malkia wa sayansi ambayo inasaidia katika uvumbuzi wa kisayansi. Somo la hisabati lilikita mizizi kwa sababu ya uchu wa wanasayansi kupenda kutatua shida kama vile za biashara, ugavi wa ardhi na masomo ya sayari na katika kukisia uzani.

Tanbihi

Marejeo

Marejeo mengine

Viungo vya nje

Hisabati 
Simple English Wiktionary
Wikamusi ya Kiswahili ina maelezo na tafsiri ya maana ya neno:
Hisabati  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hisabati kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Hisabati Historia ya Hisabati TanbihiHisabati MarejeoHisabati Marejeo mengineHisabati Viungo vya njeHisabatiIdadiUkubwaUpimaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ugonjwa wa uti wa mgongoAlama ya barabaraniMapenzi ya jinsia mojaLughaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaKaaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaAlomofuNomino za dhahaniaMichezo ya watotoMkoa wa RuvumaIbadaKiongoziMfumo wa nevaMkutano wa Berlin wa 1885Rufiji (mto)KigaweMahakama ya TanzaniaUgonjwa wa ParkinsonAlfabetiHifadhi ya SerengetiSamia Suluhu HassanTabainiDawatiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaDubaiVivumishi vya kuoneshaMzunguUsanisinuruMagonjwa ya machoNambaUmoja wa MataifaTungo kiraiMishipa ya damuRayvannyPonografiaKichecheNg'ombeKiunguliaViwakilishi vya urejeshiNairobiMwakaMivighaKipandausoMuzikiKinjikitile NgwaleMtotoUti wa mgongoMwenge wa UhuruBabeliJipuMizimuWamasoniWapareUandishi wa inshaLakabuTwigaMbuga za Taifa la TanzaniaPistiliNyokaAina za udongoDawa za mfadhaikoUnyevuangaMapambano kati ya Israeli na PalestinaShomari KapombeBaraza la mawaziri Tanganyika 1961Kamusi elezoNgiriKanuni ya Imani ya MitumeVasco da GamaMarie AntoinetteKilimoUhindiUturukiTabianchi ya Tanzania🡆 More