Warner Bros.
Entertainment, Inc. (pia inajulikana kama Pictures, au rahisi zaidi — kifupi cha jina rasmi la zamani ambalo bado hutumika Warner Brothers) ni kampuni mojawapo kati ya watayarishaji wakubwa duniani wa filamu na burudani za televisheni.
Ni kundi kubwa la burudani, studio ya filamu na studio ya rekodi. Inamilikiwa na Time Warner.
Wanao hakimiliki ya mfululizo wa filamu wa Harry Potter, mfululizo wa filamu ya Batman, na mfululizo wa filamu ya Superman, DC Extended Universe.
Makala hii kuhusu mambo ya uchumi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Warner Bros., which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.