Stanley Kubrick

Stanley Kubrick (26 Julai 1928 - 7 Machi 1999) alikuwa mwongozaji wa filamu wa Kimarekani.

Kubrick anafikiriwa kuwa mmoja kati ya waongozaji filamu wakubwa wa karne ya 20.

Stanley Kubrick
Stanley Kubrick
Amezaliwa (1928-07-26)Julai 26, 1928
New York City, Marekani
Amekufa 7 Machi 1999 (umri 70)
Childwickbury, Marekani.
Kazi yake Mwongozaji wa filamu
Ndoa Toba Metz (1948-1951)
Ruth Sobotka (1955-1957)
Christian Harlan (1958)
Watoto 2

Alizaliwa mjini New York lakini maisha yote alikuwa akiishi Uingereza. Filamu zake ziliheshimika sana kwakuwa na maelezo ya msingi na kueleweka-kuwa na wapenzi wengi. Filamu zilizonyingi zilikuwa gumzo mara tu inapoanza kuonyeshwa.

Filamu maarufu za Kubrick ni Dr. Strangelove or: How I Learned To Stop Worrying na Love the Bomb, 2001: A Space Odyssey na The Shining. Stanley Kubrick alifariki dunia kutokana na ugonjwa wa moyo mnamo tarehe 7 Machi ya mwaka wa 1999.

Filamu za Stanley Kubrick

  • Day of the Fight (1951)
  • Flying Padre (1951)
  • The Seafarers (1952)
  • Fear and Desire (1953)
  • Killer's Kiss (1955)
  • The Killing (1956)
  • Paths of Glory (1957)
  • Spartacus (1960)
  • Lolita (1962)
  • Dr. Strangelove or: How I Learned to Stop Worrying and Love the Bomb (1963)
  • 2001: A Space Odyssey (1968)
  • A Clockwork Orange (1971)
  • Barry Lyndon (1975)
  • The Shining (1980)
  • Full Metal Jacket (1987)
  • Eyes Wide Shut (1999)

Viungo vya nje

Stanley Kubrick  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stanley Kubrick kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1928199926 Julai7 MachiKarne ya 20Marekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mvua ya mawePumuVirusi vya UKIMWIOrodha ya kampuni za TanzaniaNuhuMarthe Solange Achy BrouMkoa wa MwanzaMkoa wa KageraViunganishiBarcelona F.C.Rita wa CasciaJamhuri ya ChinaMofimuNg'ombeMkutano wa Berlin wa 1885Uhakiki wa fasihi simuliziOrodha ya visiwa vya TanzaniaKitenzi kishirikishiBiblia ya KikristoJakaya KikweteKatibu MkuuAVielezi vya wakatiMzabibuOrodha ya Mashirika ya Ndege DunianiLambo la MteraBatuli (mwigizaji)RushwaKamusiEdward Ngoyai LowassaRamaniChakulaKipandausoTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaWasukumaKitenzi kikuu kisaidiziMbwaVihisishiMamba (mnyama)Uhuru wa TanganyikaUhuruCherehaniArudhiHadhiraOmbweFamiliaBaha'iKiimboUjerumaniWabena (Tanzania)Orodha ya MakardinaliTungo sentensiBahari ya HindiJuaPonografiaMawasilianoJuvenal HabyarimanaAgano la KaleAntibiotikiTungo kiraiShahawaTambikoTungoAustraliaDaudi (Biblia)Ihefu F.C.UislamuHoma ya mafuaUbatizoKiboko (mnyama)Orodha ya matajiri wakubwa WaafrikaPapaRadiPanda🡆 More