Mtayarishaji Wa Filamu

Mtayarishaji wa filamu ni mtu anayeanzisha mandhari ya utengenezaji wa filamu.

Mtayarishaji hutazama na kudhibiti vitu kama vile upatikanaji wa fedha ili kutengeneza filamu, kuajiri watu, na kupanga maandalizi ya kupeleka filamu kwa wasabambazaji. Matayarishaji wa filamu hu-husika katika kila sehemu ya uchakataji wa utayarishaji wa filamu kuanzia mwanzo hadi mwisho wa mradi. Kikawaida, huhesabiwa kama mfanyakazi mkuu na hana mamlaka na upande udhibiti wa usanii katika utangenezaji wa filamu, wakati mwongozaji ni kiongozi katika kupiga filamu na sehemu ya usanii.

Mtayarishaji Wa Filamu
Meta Louise Foldager, mtayarishaji wa filamu toka nchini Denmark

Viungo vya Nje

Mtayarishaji Wa Filamu  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtayarishaji wa filamu kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FedhaFilamuMtayarishajiMwongozaji wa filamuUsanii

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AustraliaMagonjwa ya machoYoung Killer MsodokiMwarobainiJohn Raphael BoccoVivumishi vya sifaWilaya za TanzaniaMbwana SamattaKaskaziniWaanglikanaWayahudiJulius NyerereNominoNomino za pekeeWasukumaDaraja la MkapaUandishi wa inshaNdiziKilimoChupiWikipediaDhahabuUandishi wa barua ya simuMvua ya maweKonsonantiHabariWatakatifu wa Agano la KaleLilithChupaUpendoNyaniZuchuFonetikiNadhiriMajigamboProtiniKishazi huruWahaMilima ya MbeyaTarakilishiMofimuZama za MaweKifuko cha nyongoBenjamin MkapaTAZARAKatekisimu ya Kanisa KatolikiViwakilishi vya pekeeMchungaji mwemaNenoOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaMaambukizi ya njia za mkojoShabaOrodha ya milima ya mkoa wa MbeyaNimoniaLughaDodoma (mji)Saratani ya mlango wa kizaziNyweleBata MzingaUtafitiNandyHoma ya manjanoMwanza (mji)Wilaya ya RufijiMpira wa miguuSakramentiUtamaduniJakaya KikweteKanisa la Anglikana la TanzaniaTanganyika African National UnionMkoa wa Kigoma🡆 More