Kisotho-Kaskazini (pia Kipedi) ni lugha ya Kibantu hasa nchini Afrika Kusini inayozungumzwa na Wasepedi.
Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kisotho-Kaskazini nchini Afrika Kusini imehesabiwa kuwa watu zaidi ya milioni nne. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Botswana. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kisotho-Kaskazini iko katika kundi la S30.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisotho-Kaskazini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kisotho-Kaskazini, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.