Boris Yeltsin

Boris Nikolayevich Yeltsin (kwa herufi za Kirusi: Бори́с Никола́евич Е́льцин  sikiliza ?; 1 Februari 1931 - 23 Aprili 2007) alikuwa rais wa kwanza wa Urusi baada ya mwisho wa ukomunisti.

Boris Yeltsin
Hayati Boris Yeltsin.

Alitumikia taifa la Urusi kuanzia mwaka 1991 hadi 1999. Mikhail Gorbachev, alimtangulia Boris, wakati huo Urusi iliitwa Umoja wa Kisovyeti. Vladimir Putin amekuja baada ya Boris.

Boris Yeltsin alifariki dunia kwa ugonjwa wa moyo tarehe 23 Aprili mwaka 2007.

Viungo vya nje

Boris Yeltsin 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:
Boris Yeltsin  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Boris Yeltsin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

1 Februari1931200723 ApriliHerufiOrodha ya Marais wa UrusiRu-Boris Nikolayevich Yeltsin.oggUkomunistiUrusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mkondo wa umemeUfeministiKichecheHistoria ya TanzaniaKaabaWahayaKylian MbappéKiunguliaViwakilishi vya urejeshiKiambishi awaliFasihi simuliziUtamaduni wa KitanzaniaMeta PlatformsHuduma za Maktaba TanzaniaSintaksiHisiaUgonjwa wa kuharaMofolojiaSkeliShahawaKichochoNg'ombeWaluguruOrodha ya milima mirefu dunianiNigeriaVivumishi vya idadiWilaya za TanzaniaRitifaaMofimuMtotoMarekaniPhilip Isdor MpangoOrodha ya makabila ya TanzaniaJacob StephenMtoto wa jichoDuniaPonografiaMafurikoVidonda vya tumboTarakilishiOrodha ya nchi za AfrikaMnyamaNikki wa PiliUsanisinuruPaa (maana)Matendo ya MitumeUtohoziOrodha ya Watakatifu wa AfrikaMwanzoAfrika Mashariki 1800-1845Afrika ya Mashariki ya KijerumaniDNADivaiJamhuri ya Watu wa ZanzibarWazigulaMwanza (mji)Historia ya WapareUgonjwa wa ParkinsonUtapiamloMariooIsraeli ya KaleUbepariMziziKatibaMkoa wa ArushaOrodha ya vitabu vya BibliaMkoa wa MbeyaUandishi wa ripotiViungo vinavyosafisha mwiliShetani🡆 More