Apokrifa (kutoka neno la Kigiriki ἀπόκρυφος, apókruphos, yaani iliyofichika) ni jina linalotumika katika Ukristo kuanzia karne ya 5 kutajia vitabu ambavyo madhehebu husika hayavikubali katika Biblia.
Hivyo vitabu vilevile vinaweza kuwa vitakatifu kwa madhehebu kadhaa lakini si kwa mengine.
Lakini kuna vitabu vingine ambavyo vinatazamwa na Wakristo wote kuwa ni apokrifa, kwa mfano "Maisha ya Adamu na Eva".
Maelezo ya undani zaidi yanapatikana katika makala Deuterokanoni kuhusu vitabu maarufu zaidi vinavyokubaliwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama Neno la Mungu, lakini si na Waprotestanti wengi.
Vitabu vyenyewe
Ufafanuzi
Utangulizi
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Apokrifa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.