Paris (kwa Kifaransa: [paʁi] (info)) ndiyo mji mkuu na mji mkubwa wa Ufaransa ukiwa na wakazi 2,140,526 mwanzoni mwa mwaka 2019.
Paris | |||
| |||
Mahali pa mji wa Paris katika Ufaransa | |||
Majiranukta: 48°51′24″N 2°21′3″E / 48.85667°N 2.35083°E | |||
Nchi | Ufaransa | ||
---|---|---|---|
Mkoa | Île-de-France | ||
Wilaya | Paris | ||
Idadi ya wakazi (2019) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 2,140,526 | ||
Tovuti: http://www.paris.fr/ |
Mji wa Paris unapatikana katika Ufaransa ya kaskazini.
Mto Seine unatiririka kupitia mji huo.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ufaransa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Paris kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Paris, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.