Maeneo Ya Shirikisho La Urusi

Maeneo ya Shirikisho la Urusi ni maeneo yanayofanya kikatiba Shirikisho la Urusi.

Maeneo haya ni kama majimbo au madola katika nchi nyingine ya shirikisho. Jina la Kirusi ni "субъекты федерации" (subyekti federatsii) inayoweza kutafsiriwa kama "nafsi za shirikisho" au "wanachama wa shirikisho".

Hali halisi yana viwango tofauti sana vya kujitawala kuhusu mammbo ya ndani ama kisiasa, kiuchumi au kiutamaduni. Lakini kila eneo la shirikisho lina wawakilishi 2 katika Halmashauri ya Shirikisho la Urusi ambayo ni kitengo cha juu cha bunge la Urusi.

Katiba ya Urusi inataja aina mbalimbali za maeneo ya shirikisho:

Mwaka 1993 kulikuwa na maeneo mwanachama 89. Idadi hii ilipungua kuwa 83 kwenye mwaka kutokana na kuunganishwa kwa maeneo mbalimbali. Mwaka 2014 mji wa Sevastopol na Jamhuri ya Krim yalikuwa maeneo ya 84b na 85 ya Shirikisho la Urusi ingawa hatua hii haikubaliwa na umma wa kimataifa.

Orodha

Maeneo Ya Shirikisho La Urusi 
Na. Jina Mji mkuu
(Mji mkubwa kama si mji mkuu)
Bendera Nembo Kanda ya Shirikisho Kanda ya Uchumi Eneo (km2) Wakazi Mwaka wa kuundwa
01 Adygea Maykop Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Kaukazi Kaskazini 7,600 447,109 1922
02 Bashkortostan Ufa Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Ural 143,600 4,104,336 1919
03 Buryatia Ulan-Ude Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 351,300 981,238 1923
04 Jamhuri ya Altai Gorno-Altaysk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 92,600 202,947 1922
05 Dagestan Mahachkala Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 50,300 2,576,531 1921
06 Ingushetia Magas
(Mji mkubwa: Nazran)
Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 4,000 467,294 1992
07 Kabardino-Balkaria Nalchik Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 12,500 901,494 1936
08 Kalmykia Elista Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Volga 76,100 292,410 1957
09 Karachaevo-Cherkesia Cherkessk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 14,100 439,470 1957
10 Karelia Petrozavodsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Faili:Coat of Arms of Jamhuri ya Karelia.svg Kaskazini Magharibi Kaskazini 172,400 716,281 1956
11 Jamhuri ya Komi Syktyvkar Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini 415,900 1,018,674 1921
12 Mari El Yoshkar-Ola Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga-Vyatka 23,200 727,979 1920
13 Mordovia Saransk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga-Vyatka 26,200 888,766 1930
14 Sakha (Yakutia) Yakutsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 3,103,200 949,280 1922
15 Ossetia Kaskazini-Alania Vladikavkaz Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 8,000 710,275 1924
16 Tatarstan Kazan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga 68,000 3,779,265 1920
17 Tuva Kyzyl Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 170,500 305,510 1944
18 Udmurtia Izhevsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Ural 42,100 1,570,316 1920
19 Hakasia Abakan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 61,900 546,072 1930
20 Chechnya Grozniy Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 15,300 1,103,686 1991
21 Chuvashia Cheboksary Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga-Vyatka 18,300 1,313,754 1920
22 Altai Krai Barnaul Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 169,100 2,607,426 1937
75 Zabaykalskiy Krai Chita Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 431,500 1,155,346 2008
41 Kamchatka Krai Petropavlovsk-Kamchatskiy Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 472,300 358,801 2007
23 Krasnodar Krai Krasnodar Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Kaukazi Kaskazini 76,000 5,125,221 1937
24 Krasnoyarsk Krai Krasnoyarsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 2,339,700 2,966,042 1934
90 Perm Krai Perm Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Ural 160,600 2,819,421 2005
25 Primorskiy Krai Vladivostok Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 165,900 2,071,210 1938
26 Stavropol Krai Stavropol Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaukazi Kaskazini Kaukazi Kaskazini 66,500 2,735,139 1934
27 Habarovsk Krai Habarovsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 788,600 1,436,570 1938
28 Amur Oblast Blagoveshchensk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 363,700 902,844 1932
29 Arhangelsk Oblast Arhangelsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini 587,400 1,336,539 1937
30 Astrahan Oblast Astrahan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Volga 44,100 1,005,276 1943
31 Belgorod Oblast Belgorod Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Chernozyomni Kati 27,100 1,511,620 1954
32 Bryansk Oblast Bryansk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 34,900 1,378,941 1944
33 Vladimir Oblast Vladimir Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 29,000 1,523,990 1944
34 Volgograd Oblast Volgograd Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Volga 113,900 2,699,223 1937
35 Vologda Oblast Vologda
(Mji mkubwa: Cherepovets)
Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini 145,700 1,269,568 1937
36 Voronezh Oblast Voronezh Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Chernozyomni Kati 52,400 2,378,803 1934
37 Ivanovo Oblast Ivanovo Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 21,800 1,148,329 1936
38 Irkutsk Oblast Irkutsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Mashariki 767,900 2,581,705 1937
39 Kaliningrad Oblast Kaliningrad Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi

Kaliningrad

15,100 955,281 1946
40 Kaluga Oblast Kaluga Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 29,900 1,041,641 1944
42 Kemerovo Oblast Kemerovo
(Mji mkubwa: Novokuznetsk)
Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 95,500 2,899,142 1943
43 Kirov Oblast Kirov Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga-Vyatka 120,800 1,503,529 1934
44 Kostroma Oblast Kostroma Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 60,100 736,641 1944
45 Kurgan Oblast Kurgan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Ural 71,000 1,019,532 1943
46 Kursk Oblast Kursk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Chernozyomni Kati 29,800 1,235,091 1934
47 Leningrad Oblast Mji mkubwa: Gatchina[a] Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 84,500 1,669,205 1927
48 Lipetsk Oblast Lipetsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Chernozyomni Kati 24,100 1,213,499 1954
49 Magadan Oblast Magadan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 461,400 182,726 1953
50 Moscow Oblast Mji mkubwa: Balashiha[b] Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 45,900 6,618,538 1929
51 Murmansk Oblast Murmansk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini 144,900 892,534 1938
52 Nizhniy Novgorod Oblast Nizhniy Novgorod Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga-Vyatka 76,900 3,524,028 1936
53 Novgorod Oblast Velikiy Novgorod Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 55,300 694,355 1944
54 Novosibirsk Oblast Novosibirsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 178,200 2,692,251 1937
55 Omsk Oblast Omsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 139,700 2,079,220 1934
56 Orenburg Oblast Orenburg Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Ural 124,000 2,179,551 1934
57 Oryol Oblast Oryol Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 24,700 860,262 1937
58 Penza Oblast Penza Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga 43,200 1,452,941 1939
60 Pskov Oblast Pskov Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 55,300 760,810 1944
61 Rostov Oblast Rostov juu ya Don Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kusini Kaukazi Kaskazini 100,800 4,404,013 1937
62 Ryazan Oblast Ryazan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 39,600 1,227,910 1937
63 Samara Oblast Samara Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga 53,600 3,239,737 1928
64 Saratov Oblast Saratov Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga 100,200 2,668,310 1936
65 Sahalin Oblast Yuzhno-Sahalinsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 87,100 546,695 1947
66 Sverdlovsk Oblast Yekaterinburg Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Ural 194,800 4,486,214 1935
67 Smolensk Oblast Smolensk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 49,800 1,049,574 1937
68 Tambov Oblast Tambov Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Chernozyomni Kati 34,300 1,178,443 1937
69 Tver Oblast Tver Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 84,100 1,471,459 1935
70 Tomsk Oblast Tomsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Siberia Siberia Magharibi 316,900 1,046,039 1944
71 Tula Oblast Tula Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 25,700 1,675,758 1937
72 Tyumen Oblast Tyumen Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Siberia Magharibi 1,435,200 3,264,841 1944
73 Ulyanovsk Oblast Ulyanovsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Volga Volga 37,300 1,382,811 1943
74 Chelyabinsk Oblast Chelyabinsk Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Ural 87,900 3,603,339 1934
76 Yaroslavl Oblast Yaroslavl Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 36,400 1,367,398 1936
77 Moscow Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kati Kati 2,511 10,382,754
78 Sankt Peterburg Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini Magharibi 1,439 4,662,547
79 Oblast huru ya Kiyahudi Birobijan Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 36,000 190,915 1934
83 Okrug Huru wa Nenets Naryan-Mar Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Kaskazini Magharibi Kaskazini 176,700 41,546 1929
86 Okrug huru ya Hanty-Mansi Hanty-Mansiysk
(Mji mkubwa: Surgut)
Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Siberia Magharibi 523,100 1,432,817 1930
87 Okrug huru ya Chukotka Anadyr Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Mashariki ya Mbali Mashariki ya mbali 737,700 53,824 1930
89 Okrug huru ya Yamalo-Nenets Salehard
(Mji mkubwa: Noviy Urengoy)
Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Ural Siberia Magharibi 750,300 507,006 1930
82 Krim[c] Simferopol Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Krim 26,964 1,966,801 2014
92 Sevastopol[c] Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Maeneo Ya Shirikisho La Urusi  Krim 864 379,200 2014

Marejeo

Tags:

Shirikisho la Urusi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Nembo ya TanzaniaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoNomino za dhahaniaKitenzi kikuuMatumizi ya lugha ya KiswahiliMkoa wa ArushaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaOrodha ya maziwa ya TanzaniaVivumishi ya kuulizaKunguniMmeaHoma ya mafuaKinembe (anatomia)MusaUrusiAgano la KaleKibwagizoKhadija KopaMiundombinuIniUkristoSayariWilaya za TanzaniaKanisaMadhehebuVichekeshoAlama ya uakifishajiMbadili jinsiaWaheheSiasaAndalio la somoUti wa mgongoUandishi wa barua ya simuJipuGhanaPichaVivumishi vya jina kwa jinaTendo la ndoaOrodha ya mito nchini TanzaniaChakulaUgonjwa wa uti wa mgongoChuo Kikuu cha Dar es SalaamAla ya muzikiTarakilishiLugha ya maandishiWakwereFisiDubaiPasaka ya KikristoMkoa wa MbeyaKukuUandishi wa inshaMariooJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoVielezi vya namnaAlama ya barabaraniLilithInshaSanaaJakaya KikweteNgekewaTanganyikaUkristo nchini TanzaniaMkoa wa PwaniMkoa wa Unguja Mjini MagharibiMbeyaRitifaaOsama bin LadenOrodha ya Marais wa TanzaniaMapenziElimuUfupishoOrodha ya Marais wa ZanzibarVidonge vya majiraChelsea🡆 More