Jumanne: Moja ya siku saba za wiki

Jumanne ni siku ya tatu ya katika juma (wiki) ya siku saba yenye asili ya kiyahudi-kikristo.

Iko kati ya siku za Jumatatu na Jumatano.

Kiswahili, Kiarabu na utamaduni wa Kiislamu

Katika lugha ya Kiswahili jina la siku lina namba "4" ndani yake. Hii ni dokezo la asili ya Kiswahili katika utamaduni ya Kiislamu pasipo na athira ya Uyahudi unaoanza hesabu baada ya sikukuu ya Kiislamu ya Ijumaa ambayo ni siku ya sala ya pamoja: Jumamosi kama siku ya kwanza baada ya Ijumaa, Jumapili kama siku ya pili, Jumatatu kama siku ya tatu n.k.. Tabia hii katika Kiswahili ni ya pekee hasa kwa sababu Kiarabu ambacho ni lugha ya Korani takatifu na lugha ya kimataifa ya Waislamu kinafuata hesabu ya Kiyahudi na kuiita siku "ya tatu" (ثلاثاء - thalatha).

Lugha nyingi za nchi za Kiislamu zafuata kawaida ya Kiarabu na kuiita "siku ya tatu", kwa mfano Kiindonesia (selasa - tatu) au Kiajemi (Farsi) (سه‌شنب - se shanbe tatu jumamosi).

Katika lugha za Ulaya jina la siku hutunza kumbukumbu ya miungu iliyoabudiwa zamani za dini za Kiroma au Kigermanik kama vile Kifaransa "mardi" (siku ya Mars) au Kiingereza "Tuesday" (siku ya Tiu).

Jumanne: Moja ya siku saba za wiki  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jumanne kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Siku za juma (wiki)
Jumapili - Jumatatu - Jumanne - Jumatano - Alhamisi - Ijumaa - Jumamosi

Tags:

JumaJumatanoJumatatuUkristoUyahudi

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mikoa ya TanzaniaRamaniSiafuTausiTwigaDhambiAzimio la ArushaAzimio la kaziMfumo wa uzaziManchester United F.C.Nge (kundinyota)TitanicUsultani wa ZanzibarKuraniMsamiatiRihannaOrodha ya Marais wa KenyaPijini na krioliLatitudoSoga (hadithi)Fasihi andishiAndalio la somoUsawa bahari wastaniClatous ChamaEdward Ngoyai LowassaBabaBikiraMimba kuharibikaRayvannyMbuMitume na Manabii katika UislamuMnururishoAfrika ya MasharikiBrazilOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuWandaliPentekosteOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaBaruaKamusi ya Kiswahili sanifuMunguSinagogiTungo sentensiChakulaViunganishiMlongeMwezi mwandamoKumbikumbiCristiano RonaldoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaKombe la Mataifa ya AfrikaKiunguliaHistoria ya WapareKihusishiUlayaMsalaba wa YesuSentensiJapaniHistoria ya TanzaniaZodiakiKidole cha kati cha kandoJinsiaUgandaEe Mungu Nguvu YetuKadi za mialikoWimbo wa TaifaBaraza la mawaziri TanzaniaOrodha ya Marais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoKalendaRose MhandoShangaziInsha za hojaDjigui Diarra🡆 More