Vanuatu

Vanuatu ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki ya kusini yenye visiwa 83.

Vanuatu
Port Villa, Mji Mkuu wa Vanuatu
Vanuatu

Iko takriban km 1,750 mashariki kwa Australia, km 500 kaskazini-mashariki kwa Kaledonia Mpya, magharibi kwa Fiji na kusini kwa Visiwa vya Solomon.

Mji mkuu ni Port Vila.

Watu

Kuna wakazi 266,937 (2014) wakiongea lugha asili 113 (angalia orodha ya lugha za Vanuatu).

Lugha rasmi ni Bislama, Kiingereza Kifaransa.

Wakazi wana asili ya Melanesia. Inawezekana watu wa kwanza walihamia visiwani miaka 4,000 iliyopita.

Kwa sasa wengi ni Wakristo, hasa Waprotestanti (Wakalvini, Waanglikana n.k.), halafu Wakatoliki (15%).

Tazama pia


Vanuatu  Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Bahari ya PasifikiMelanesiaNchi ya visiwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ndege (mnyama)NadhariaMsamiatiMpira wa kikapuUkristo barani AfrikaNafsiPamboMohammed Gulam DewjiApril JacksonMsumbijiInsha ya wasifuKhadija KopaBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiTiktokSisimiziKontuaItikadiKamusi ya Kiswahili - KiingerezaUkatili wa kijinsiaOrodha ya Marais wa BurundiUnyanyasaji wa kijinsiaUhuru wa TanganyikaNomino za wingiTamathali za semiNdovuZana za kilimoMatendo ya MitumeMkoa wa DodomaNomino za dhahaniaChe GuevaraMiundombinu ya kijani katika nchi ya Kenya, mji wa NairobiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarHistoriaTashihisiWikipedia ya KiswahiliMaji kujaa na kupwaVivumishi ya kuulizaSanaa za maoneshoKupatwa kwa MweziTetemeko la ardhiSiasaAfro-Shirazi PartyShuleMatiniMunguShangaziHifadhi ya SerengetiMbuniUendelevuKinjikitile NgwaleNamba za simu TanzaniaMartha MwaipajaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaPundaMfumo wa mzunguko wa damuTupac ShakurZuchuBahashaKenyaMkoa wa Dar es SalaamSaidi NtibazonkizaMajira ya mvuaDiniUsawa (hisabati)ZakayoIntanetiTreniUtandawaziMuda sanifu wa duniaVisakaleMapambano kati ya Israeli na PalestinaNyimbo za jadiSteve MweusiLigi Kuu Tanzania BaraLigi Kuu Uingereza (EPL)🡆 More