Jina

Jina ni neno au maneno ambayo wanapewa watu, wanyama, nchi, vitu n.k.

kwa ajili ya utambulisho.

Majina ya watu

Utamaduni, kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia majina ya watu, kwa kawaida tangu kuzaliwa.

Mara nyingi, pamoja na jina binafsi, mtu anatumia pia majina mengine kama vile la ukoo mzima, au la baba na la babu.

Katika nchi na makabila mbalimbali jina linaweza kubadilishwa, kwa mfano wakati wa ibada ya kuingizwa katika dini fulani au katika utawa, au kuongezewa, kwa mfano kutokana na ndoa.

Wasanii kama waimbaji au waandishi mara nyingi hutumia jina la kisanii badala ya jina la kawaida.

Mara nyingine jina linafupishwa, hasa kama ni refu mno, au linapambwa kama kwa kumbembeleza mwenye nalo.

Majina ya wanyama

Kila aina ya wanyama inapewa jina maalumu la kuwatofautisha na wengine. Mfano: Tembo akitajwa jina lake humtofautisha na twiga.

Majina ya nchi

Kila nchi duniani lina jina lake maalumu ambalo huitambulisha nchi husika pamoja na raia wake.

Tags:

KituNchiNenoWanyamaWatu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UkooTanganyika (ziwa)TanganyikaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiEdward SokoineMajiSaratani ya mlango wa kizaziViwakilishi vya kuoneshaTupac ShakurOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaTamathali za semiKiimboMzunguUkoloniUingerezaWhatsAppPunyetoFamiliaAmfibiaUkristoTanzaniaInsha zisizo za kisanaaWamasaiWanyama wa nyumbaniMofolojiaMwana wa MunguOrodha ya makabila ya TanzaniaDhamiraHoma ya iniKipindupinduOrodha ya Magavana wa TanganyikaOrodha ya vitabu vya BibliaHistoria ya WasanguAfrikaKisukari (ugonjwa)MusaAlama ya barabaraniOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJamhuri ya Watu wa ChinaKabwe Zuberi ZittoKoffi OlomideZama za MaweSemantikiSamakiAthari za muda mrefu za pombeLigi ya Mabingwa UlayaBinamuAunt EzekielUhindiNuktambiliAsiaHoma ya mafuaUtandawaziSintaksiChelsea F.C.Vipaji vya Roho MtakatifuRisalaUturukiUtamaduni wa KitanzaniaWilaya ya UkereweHisiaCristiano RonaldoMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaMaadiliNyangumiPanziMafurikoMbeya (mji)Biashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiSteve MweusiOrodha ya maziwa ya TanzaniaUtoaji mimbaMange Kimambi🡆 More