Helsinki

Helsinki (kwa Kiswidi: Helsingfors) ni mji mkuu wa Ufini na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni 610,601 (2013) na kuna jumla ya milioni moja katika rundiko la mji.

Helsinki
Helsinki
Nembo
Majiranukta: 60°10′N 26°56′E / 60.167°N 26.933°E / 60.167; 26.933
Nchi
Kaunti Helsinki
Idadi ya wakazi (2013)
 - Wakazi kwa ujumla 610 601
Tovuti:  www.hel.fi
Helsinki
Helsinki
Helsinki
Helsinki mjini
Helsinki
Wilaya ya Kalasatama na skyscrapers huko Helsinki mnamo Machi 2021
Helsinki
Itäkeskus

Jiografia

Helsinki iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Ufini ya bahari ya Baltiki; imesambaa mwambaoni wa hori mbalimbali na visiwa vya Ghuba hiyo.

Historia

Manmo 1550 eneo la Helsinki lilikuwa sehemu ya Uswidi na mfalme wa Uswidi Gustav Vasa aliamuru kujengwa kwa mji mpya. Lakini wakati wa utawala wa Uswidi mji ulioitwa kwa Kiswidi "Helsingfors" haukuendela sana.

Tangu mwaka 1809 Ufini ilikuwa chini ya utawala wa Urusi na Kaisari Alexander I wa Urusi aliamuru kuhamisha mji mkuu wa jimbo hili kwenda Helsinki na kujenga mji upya. Tangu wakati ule Helsinki imekua kushinda mji wa Turku uliowahi kuwa mji mkubwa katika Ufini hadi wakati ule.

Tangu mwaka 1917 Helsinki imekua mji mkuu wa nchi mpya ya Ufini.

Viungo vya Nje

Helsinki  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Helsinki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tanganyika African National UnionJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaThamaniHifadhi ya Taifa ya NyerereFigoWabunge wa Tanzania 2020Vita Kuu ya Pili ya DuniaNelson MandelaTendo la ndoaMaana ya maishaBurundiPandaJuxWilaya ya MboziNembo ya TanzaniaUmaskiniMkonoJoyce Lazaro NdalichakoNomino za jumlaKhadija KopaHeshimaMkoa wa MaraBongo FlavaMfumo wa mzunguko wa damuTamthiliaUtamaduniMartha MwaipajaLimauUjerumaniNgonjeraCristiano RonaldoKibodiMkoa wa MbeyaOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaWikipediaDubai (mji)Homa ya mafuaKinywajiKiswahiliBahari ya HindiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMkoa wa SingidaZakayoNominoRitifaaRayvannyUainishaji wa kisayansiAdolf HitlerBiashara ya masafa marefu ya Afrika MasharikiHakiTambikoOrodha ya Marais wa BurundiDiamond PlatnumzNafsiKipepeoFasihiMalebaUtamaduni wa KitanzaniaKalenda ya KiislamuVivumishi vya jina kwa jinaUsultani wa ZanzibarEdward Ngoyai LowassaVipaji vya Roho MtakatifuRaiaVivumishi vya urejeshiMavaziUhakiki wa fasihi simuliziMaghaniVihisishiSisimizi🡆 More