Guinea: Nchi huru katika Afrika Magharibi

Gine, (pia: Gini; Kifaransa: Guinée; Kiingereza: Guinea) kirasmi Jamhuri ya Gine, ni nchi katika Afrika ya Magharibi.

Pengine inatajwa kama Gine-Conakry ili kuitofautisha na nchi za Gine-Bisau na Gine ya Ikweta.

Jamhuri ya Gine
République de Guinée (Kifaransa)
Hawtaandi Gine (Kipular)
ߖߌ߬ߣߍ߫ ߞߊ ߝߊߛߏߖߊߡߊߣߊ (Kimaninka)
Nembo ya Guinea
Nembo
Kaulimbiu ya taifa:
Travail, Justice, Solidarité (Kifaransa)
"Kazi, Haki, Mshikamano"
Wimbo wa taifa: Liberté (Kifaransa)
"Uhuru"
Mahali pa Guinea
Mahali pa Guinea
Ramani ya Guinea
Ramani ya Guinea
Mji mkuu
na mkubwa nchini
Conakry
9°31′ N 13°42′ W
Lugha rasmiKifaransa

Imepakana na Gine-Bisau, Senegal na Mali upande wa kaskazini, Kodivaa, Liberia na Sierra Leone kusini halafu Bahari ya Atlantiki upande wa magharibi.

Eneo lake ni chanzo ya mito mikubwa ya Niger, Senegal na Gambia.

Jina

Jina la "Gine" liliwahi kutaja sehemu kubwa ya Afrika ya Magharibi kati ya jangwa la Sahara na Ghuba ya Gine ya Atlantiki likimaanisha "nchi ya watu weusi" kwa lugha ya Kiberberi.

Watu

Makabila yaliyopo nchini ni 24. Kubwa zaidi ni lile la Wafulani (40%).

Lugha rasmi ni Kifaransa, lakini wakazi wanatumia zaidi lugha asilia kadiri ya makabila, hasa Kipular, Kimaninka, Kisusu, Kikisi, Kikpelle na Kiloma,

Upande wa dini, 85% ni Waislamu (hasa Wasuni), 8% ni Wakristo (hasa Wakatoliki) na 7% ni wafuasi wa dini asilia za Kiafrika.

Tazama pia

Viungo vya nje

Guinea: Jina, Watu, Tazama pia 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Serikali

Habari

Muziki

Orodha


Nchi za Afrika Guinea: Jina, Watu, Tazama pia 
Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Eswatini | Ethiopia | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesotho | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Zambia | Zimbabwe
Maeneo ya Afrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika
Hispania: Kanari · Ceuta · Melilla | Italia: Pantelleria · Pelagie | Ufaransa: Mayotte · Réunion | Uingereza: · St. Helena · Diego Garcia | Ureno: Madeira
Guinea: Jina, Watu, Tazama pia  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Guinea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Guinea JinaGuinea WatuGuinea Tazama piaGuinea Viungo vya njeGuineaAfrika ya MagharibiGinebisauGinekwetaKifaransaKiingereza

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KisaweMkoa wa ArushaFonolojiaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaWaheheUchapajiMadhehebuHadithi za Mtume MuhammadNamba tasaUchumiHifadhi ya mazingiraMkoa wa RuvumaKatibaVipera vya semiMkoa wa MbeyaMtandao wa kijamiiMauaji ya kimbari ya RwandaMfumo wa mzunguko wa damuFasihiMkoa wa SongweHekalu la YerusalemuOrodha ya Watakatifu WakristoUkooUzalendoMwanamkeMkoa wa LindiKadi za mialikoDiplomasiaWanyaturuAbakuriaMapenziUfeministiSimuKondomu ya kikeKupatwa kwa JuaNafakaMweziMaambukizi nyemeleziBarua pepePanziKibwagizoNenoMajira ya mvuaOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMaghaniBiashara ya watumwaLahajaSiasaNyasa (ziwa)Tungo kishaziNdege (mnyama)Mwenge wa UhuruShangaziMizimuMaumivu ya kiunoMusaTiktokAmri KumiMwanza (mji)Michoro ya KondoaMbooUgonjwa wa uti wa mgongoUtumwaJumuiya ya MadolaWazigulaVasco da GamaNgw'anamalundiUkoloniHistoria ya ZanzibarAina za manenoBwehaOrodha ya majimbo ya MarekaniDubai (mji)Pasifiki🡆 More